Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Ni wazi kuwa Magufuli ni mkurupukaji tu na kauli zake za kidhalilishaji, safari hii amekutana na watu wasio na njaa kama yeye, alidhani hawa ni sawa na wale aliowaambia wapige mbizi?
Matokeo yake sasa yeye ndo kapiga mbizi kwenye kokoto...