KYAMTUNDU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,820
- 295
Kama ilivyotarajiwa, Serikali imesalimu amri! Sheria imepindwa, na sasa wenye malori ruksa kuendelea kuharibu barabara.
Juzi niliyasema hapa Jukwaani kuwa nitashangaa kama Pinda ataunga mkono msimamo wa Magufuli.
Huu ndiyo wakati mzuri kwa mtu kama Magufuli kujiuzulu maana kila anapojaribu kuafuata sheria, anapigwa nyundo ya utosi.
Kwa hiyo Pinda amevunja sheria ya Bunge?!
Basi APIGWE TU!