Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,232
- 9,553
Kama ilivyotarajiwa, Serikali imesalimu amri! Sheria imepindwa, na sasa wenye malori ruksa kuendelea kuharibu barabara. Juzi niliyasema hapa Jukwaani kuwa nitashangaa kama Pinda ataunga mkono msimamo wa Magufuli. Huu ndiyo wakati mzuri kwa mtu kama Magufuli kujiuzulu maana kila anapojaribu kuafuata sheria, anapigwa nyundo ya utosi.
Hiyo ndiyo kazi ya nyundo iliyoko kwenye bendera ya CCM inagonga za utosini halafu jembe linachimba na kufukia.