Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,764
- 6,857
naomba kutofautiana nawe kwa namna moja ama nyingine......Uamuzi wa waziri Magufuli ulikuwa ni wa kujitafutia sifa za kijinga kwa gharama za kuhujumu uchumi wa nchi.
Kwa taarifa yenu weigh bridges za Tanroads zina variations za ajabu. Unakuta transporter anapima mzigo mzani wa Kibaha anapata readings X, akipima mzigo huo huo Chalinze bila kuongeza hata kilo moja anapata readings Y, akipima mzani wa Msata anapata readings Z!
Hili ninalisema kwa uhakika kwakuwa nimepata ku deal nao hao watu wa weigh briges (Tanroads). Kwahiyo transporters kutolipia hiyo variation ya 5% ilikuwa ni sawa kabisa.
1. ni kweli kuwa mizigo ikipimwa hutoa uzito tofauti
2. variation ya vipimo ( x, y na z) hutokana na nini????..??
upangaji wa mizigo ni sababu kubwa ya variation/tofauti ya vipimo ktk mizani yetu...... hebu ewe mtafiti huru jaribu kupima mzigo katika mzani fulani (say Kibaha, chalinze ama mikese) kabla ya kwenda mzani mwingine zunguka zunguka katika MATUTA, RUSTLERS, MIINUKO NA MABONDE kisha rejea ktk mzani ule ule .......
JIBU UTAKALO PATA UJE KUTUJUZA