KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.
Je mwenye mbuzi akikufungia bandani hiyo kamba itasaidia nini?
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.
Magufuli ajiuzulu,hela za kampeni 2015 atazitoa wapi?
Hao jamaa walijifanya hawajui biashara za Prince Riz moko, wakaingilia kichwa kichwa.Magufuli kimyaaa ka Mwakyembe wa Masogange.
Kama ilivyotarajiwa, Serikali imesalimu amri! Sheria imepindwa, na sasa wenye malori ruksa kuendelea kuharibu barabara. Juzi niliyasema hapa Jukwaani kuwa nitashangaa kama Pinda ataunga mkono msimamo wa Magufuli. Huu ndiyo wakati mzuri kwa mtu kama Magufuli kujiuzulu maana kila anapojaribu kuafuata sheria, anapigwa nyundo ya utosi.
magufuli ajiuzulu,hela za kampeni 2015 atazitoa wapi?
Tanzania ni yetu sote, hatuna haja ya kuwaendekeza baadhi ya watu kiasi kwamba wajione wao ni bora zaidi. Mkiendelea kumpa kichwa mjue ni kama mnamkatia tiketi ya kwenda ICC, maana atafanya hata mengine akijua yuko juu ya sharia.Magufuli alidhani wamiliki halisi wa malori ni walalahoi wa kawaida, kumbe ni wale wale...
Sasa Magufuli ameingia 'choo cha kike, kichafu na kibovu' na huku anaumwa tumbo la kuharisha.
Chezea Riz moko wewe!!!
Kama ilivyotarajiwa, Serikali imesalimu amri! Sheria imepindwa, na sasa wenye malori ruksa kuendelea kuharibu barabara. Juzi niliyasema hapa Jukwaani kuwa nitashangaa kama Pinda ataunga mkono msimamo wa Magufuli. Huu ndiyo wakati mzuri kwa mtu kama Magufuli kujiuzulu maana kila anapojaribu kuafuata sheria, anapigwa nyundo ya utosi.
Magufuli alidhani wamiliki halisi wa malori ni walalahoi wa kawaida, kumbe ni wale wale...
Sasa Magufuli ameingia 'choo cha kike, kichafu na kibovu' na huku anaumwa tumbo la kuharisha.
Chezea Riz moko wewe!!!
Kama ilivyotarajiwa, Serikali imesalimu amri! Sheria imepindwa, na sasa wenye malori ruksa kuendelea kuharibu barabara. Juzi niliyasema hapa Jukwaani kuwa nitashangaa kama Pinda ataunga mkono msimamo wa Magufuli. Huu ndiyo wakati mzuri kwa mtu kama Magufuli kujiuzulu maana kila anapojaribu kuafuata sheria, anapigwa nyundo ya utosi.
Hii ni mara ya pili sasa Magufuli anabwagwa na Serikali yake!