Pillow talk

guess who? Mlale salama jiandaeni kwa pillow talk
 

mshana jr;
Jukwaa hilo ni muhimu sana hapa ila ukilianza tu ghafla wataingia viruka njia wenye kujifanya ati wamefanya utafiti kwa ku google. Ilim ya kweli ni ile uipatayo kwa mtendaji.
Leo, binti/kijana anaolewa hajui kwa nini anaifunga ndoa yake hiyo. Mwingine anadhani kwa kuwa kaoa kazi ni kumzalisha tu ka panya. Mama wakwe wengine hata hawajui kuwa mwanaye kaoa hivyo hana nafasi naye tena. Mawifi wanadhani yule ni kaka yao bado. Hii dunia ya leo ni ya hatari balaa,
 
Hivi vitu vingine jamani muwe mnawapunguzia kero wake zenu. Badala ya kuwaza mkeo atakufanyia nini, jiulize wewe utamfanyia nini yeye kwanza. Hivi utoke huko kwenye mipombe yako, umkiss mwenzio na liharufu hilo? Kapige mswaki kwanza, tafuna na big g. Afu baba jitu zima kwa nini usinywe responsibly? Unywe hadi ujitapikie afu umshikishe mkeo matapishi yako as if unaumwa bana. Kabla hujawish mkeo akuvumilie, em wish kumpunguzia kero mkeo ili asikuvumilie sana. Mnanichosha mie khaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…