Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
Pillow talk inatakuwa ktk condition hii :-
(1)msiwe mnadaiwa dukani kwa mangi.
(2)usiwaze kuwa kesho asb hakuna kitafunio.
(3)LUKU iwe inasoma vizuri.
(4)kusiwe na deni la ada ya Mhula. n.k .
Lil sis + daddy = atotoUko wapiiii kaboom wangu mida ya pilow talk hii...im waiting for yaah na..ked
Hebu fanya hivyo.Tena nitaweka lile guu haswaaaaambona umetoa lile guu best? Nikilipandia dau utalirudisha?
Say my name ($$$)...you're smart...you're loyal....nambie LVDaby.....
Nichukue tu na mie, huu uzi jamani mwee, basi tuNiko hospitali dota.
Acha uoga dogo.Kila likinijia wazo la kuoa moyo wangu unanienda mbio na jasho linanitoka......!!!
Hizi ni dalili mbaya.......
Anyway.....maisha ya ubachela matamu......
Heaven Sent njoo uniokote dota.Uko wapiiii kaboom wangu mida ya pilow talk hii...im waiting for yaah na..ked
Ha ha hujafwariki tuHeaven Sent njoo uniokote dota.
Ndio wameharibu dhana nzima ya pillow talk kama walivyochafua hii post mpaka ukakereka
Baba yako kaanza tena jamani, wakati alishasema ameacha hizi habari.Nichukue tu na mie, huu uzi jamani mwee, basi tu
Nakaribia aiseee!!Ha ha hujafwariki tu
Naona kuna umuhimu mkubwa wa kutoa darasa kwa wadogo zetu hapa jamvini wa kike na wa kiume kwa pamoja, kwamba nini dhima ya ndoa! Nini maana ya mapenzi, privacy tuo na mipakaMkuu;
Pillow talk haitakufa ila itapungua na tatizo ni kuwa mapenzi ya kweli ni nadra saana sku hizi. Zama zile, hata ka mume ni mpiga tungi, alikuwa akiingia ndani, mamaa anampokea, anamvutia chumbani, anamvua zote halafu anamlaza kitandani. Saa nyingine zinapanda na anachafua chumba, mamaa anafuta usiku ule ule. Jamaa akiamka asubuhi mamaa kakaa kimya kama vile hakuna baya lilitokea. Jamaa anaona aibuuu na hakika akirudia sio mbaya kama hiyo. Kidogo kdogo anajirudi.
Mama wa leo, utaamka na kupiga deki weye mwenyewe na mitusi mikuubwa juu. Hiyo pillow talk itokee wapi?? Ulio waonesha hapo wamevumiliana. Mapenzi kuvumiliana ndo dawa.
Huhitaji viagra, unahitaji Pillow talk. Kitu inasimama ka mlingoti wa bendera
Haaaaha nilijuaaa tuuu dada heaven sent lazima upite hapa....ujue nimekumisiiii saana ndo maana nilimchokoza kaboom(what i said it was just a joke)Lil sis + daddy = atoto
Ntakusaidia kufwariki khaaBaba yako kaanza tena jamani, wakati alishasema ameacha hizi habari.
Nakaribia aiseee!!
Ndio maana kapotea, nilijua tu kimya kingi kina mshindo mkuu!Ntakusaidia kufwariki khaa
Marahaba mdogo angu, umenitisha khaaa. Mich yeew more Lil sisHaaaaha nilijuaaa tuuu dada heaven sent lazima upite hapa....ujue nimekumisiiii saana ndo maana nilimchokoza kaboom(what i said it was just a joke)
shikamoooo dadaaaa