Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

I
Mtahenyeka sana washamba ninyi wa madaraka wa awamu ya hovyo. Mbowe sio Chadema na Chadema sio Mbowe. Mlichukua Slaa mkasema imekufa cha ajabu mpka Leo mnaweweseka tuu na Chadema kula hamli kulala hamlali na hata kunya hamuwezi.
Imagine mtu anafurahia watu wanaoisaliti cdm siku hiyo CCM Yao ikiwageuka watatafuta mtetezi hawatampata.
 
Mtabaki kujifaragua hivyo hivyo wakati lichama linazidi kuporomoka.
Halafu wewe Magonjwa mtambuka mbona una ujinga sana kichwani? Hivi isingekuwa upinzani hii jitihada ya serikali angalau kuwajibika kwa wananchi ingekuwepo? Mnaoombea upinzani ufutike nadhani kichwani mwenu mmejaza makamasi tu. Bila upinzani hata hii hapa kazi tu isingekuwepo.
 
Back
Top Bottom