Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,962
- 95,297
Nakuunga mkono kwa 100%Kuondoka Kwa Duni Chadema wala si pigo kama unavyotaka kuaminisha watu. Hilo lilitegemewa wakati wowote. Alikuja Chedema kwa kazi maalum kuwa mwakilishi wa CUF katika Ukawa ili awe mgombea mwenza. Kwa vile katiba yetu hairuhusu muungano wa vyama katika kugombea uongozi ndipo ilimlazimu kuchukua kadi ya chadema ili awe na sifa ya kuwa mgombea mwenza wa Chedema.
Kuondoka kwake ni jambo lililotegemewa na hakuna mwanachadema asiyejua hilo.
Hata hivyo bado tuko naye kwenye UKAWA