Pigo Kubwa kwa CHADEMA: Babu Duni Ameipiga Chini CHADEMA!

Proud-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
217
90
WanaJF,

Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!

Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.

Pole Mbowe na fisadi Lowassa.
 
Wewe muanzisha thread hilo la Duni sisi wa chadema tunaelewa kwamba huyu tunampa uanachama ila hayupo kwenye chama sasa angefanya hivyo lowassa ingekuwa sawa na tungeumiaa
 
Last edited by a moderator:
WanaJF,

Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!

Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.

Pole Mbowe na fisadi Lowassa.

kama hamjui siasa muwe mnakaa kimya tu kwaweli.
 
Hilo sio pigo kwa CHADEMA kwani mie nadhani kuja kwake na kuondoka kwake
CDM hakuja badili chochote, zaidi alikuwa yuko kama mtalii aliyetoka kwake
kaaamua kwenda mahala mji wa kigeni aka talii sasa leo anarudi kwake.

Ni marudio ya kubadili gear angani,kama ambavyo tumekuwa tukisisitiza kwamba "kubadili gear angani ni sawa na kula nyama ya mtu,ukianza huachi.Mungu atunusuru na kubadili gear angani.
 
1465247_10208178846538171_2210651588352888031_n.jpg
 
WanaJF,

Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!

Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.

Pole Mbowe na fisadi Lowassa.
Kwa ufinyu wa akili yako unaona hivyo
 
Hamna jipya hapo babu duni alitimiza wajibu na sasa anarudi nyumbani kama "prodigal son".
 
Ni marudio ya kubadili gear angani,kama ambavyo tumekuwa tukisisitiza kwamba "kubadili gear angani ni sawa na kula nyama ya mtu,ukianza huachi.Mungu atunusuru na kubadili gear angani.
Basi tutaanza kubadilishia gia maungoni mwako
 
Kwan babu Duni ni lini alirudisha kadi ya CUF? Nyie ccm angaikeni na majipu yenu mliyoyalea kipindi cha mkwere. Mambo ya Ukawa waachie Ukawa!
 
Hilo sio pigo kwa CHADEMA kwani mie nadhani kuja kwake na kuondoka kwake
CDM hakuja badili chochote, zaidi alikuwa yuko kama mtalii aliyetoka kwake
kaaamua kwenda mahala mji wa kigeni aka talii sasa leo anarudi kwake.

Huna hata chembe ya aibu.
Vp yangali kuwa haya yametokea 'Chama kubwa, kubwa lao, Dume la mbegu. CCM!

Si mngali popoma mpaka baaaasiii. Kuweni na mishipa ya hofu na aibu. Riho za kihaini punguzeni
 
Kuondoka Kwa Duni Chadema wala si pigo kama unavyotaka kuaminisha watu. Hilo lilitegemewa wakati wowote. Alikuja Chedema kwa kazi maalum kuwa mwakilishi wa CUF katika Ukawa ili awe mgombea mwenza. Kwa vile katiba yetu hairuhusu muungano wa vyama katika kugombea uongozi ndipo ilimlazimu kuchukua kadi ya chadema ili awe na sifa ya kuwa mgombea mwenza wa Chedema.
Kuondoka kwake ni jambo lililotegemewa na hakuna mwanachadema asiyejua hilo.

Hata hivyo bado tuko naye kwenye UKAWA
 
Huna hata chembe ya aibu.
Vp yangali kuwa haya yametokea 'Chama kubwa, kubwa lao, Dume la mbegu. CCM!

Si mngali popoma mpaka baaaasiii. Kuweni na mishipa ya hofu na aibu. Riho za kihaini punguzeni
mkuu huo ndio ukweli ingawa unauma. Hivi kweli wewe ukimuangalia babu duni alikuwa ana onesha
hata dalili za kuwa CDM kweli au tulikuwa tunachezeana segere tu.
 
Babu Duni alikuwa kama mchezaji aliyekuja kwa mkopo tena dirisha dogo na sasa amerejea kwenye timu yake, hiyo mbona ilikuwa inaeleweka toka anaingia?
 
mkuu huo ndio ukweli ingawa unauma. Hivi kweli wewe ukimuangalia babu duni alikuwa ana onesha
hata dalili za kuwa CDM kweli au tulikuwa tunachezeana segere tu.
Ungekuwa unajua siasa wala husingekuwa unatokwa na mapovu meupe pembeni ya midomo yako hiyo
 
Back
Top Bottom