Pigo Kubwa kwa CHADEMA: Babu Duni Ameipiga Chini CHADEMA!

Kuondoka Kwa Duni Chadema wala si pigo kama unavyotaka kuaminisha watu. Hilo lilitegemewa wakati wowote. Alikuja Chedema kwa kazi maalum kuwa mwakilishi wa CUF katika Ukawa ili awe mgombea mwenza. Kwa vile katiba yetu hairuhusu muungano wa vyama katika kugombea uongozi ndipo ilimlazimu kuchukua kadi ya chadema ili awe na sifa ya kuwa mgombea mwenza wa Chedema.
Kuondoka kwake ni jambo lililotegemewa na hakuna mwanachadema asiyejua hilo.

Hata hivyo bado tuko naye kwenye UKAWA
Nakuunga mkono kwa 100%
 
5667_10208178862058559_1583319803568121489_n.jpg
Umeamua kujipoza na kusahau ukweli
 
Attachments

  • 1451481110514.jpg
    1451481110514.jpg
    67.8 KB · Views: 48
Ungekuwa unajua siasa wala husingekuwa unatokwa na mapovu meupe pembeni ya midomo yako hiyo
Siasas nina ijua ,ila ki ukweli babu duni alikuwa kama msaka tonge tu CDM , na sasa kadhihirisha hilo.
kwa mfano: "ni kama mtu unavyo mchukua "manzi" flani baada ya kumtamani , kisha unamtumia ukimaliza aja zako
una mpotezea , sasa ndicho kilichotokea.
 
Hujui usemalo
 
Kuondoka Kwa Duni Chadema wala si pigo kama unavyotaka kuaminisha watu. Hilo lilitegemewa wakati wowote. Alikuja Chedema kwa kazi maalum kuwa mwakilishi wa CUF katika Ukawa ili awe mgombea mwenza. Kwa vile katiba yetu hairuhusu muungano wa vyama katika kugombea uongozi ndipo ilimlazimu kuchukua kadi ya chadema ili awe na sifa ya kuwa mgombea mwenza wa Chedema.
Kuondoka kwake ni jambo lililotegemewa na hakuna mwanachadema asiyejua hilo.

Hata hivyo bado tuko naye kwenye UKAWA

Mkuu, nimemshangaa sana mleta UZI hu, ina maana hakujua hili kwamba lingetokea siku 1? Tanzania tuna watu ambao thinking capacity zao zipo chini sana. Babu Duni kila mtu alijua hivyo wala hakuna jipya ambalo kalifanya kwa kuondoka kwake, we knew it na hata kama imetokea hatuwezi kushangaa. Still tuko nae pamoja kwenye UKAWA shida ni nini sasa!?
 
Kwa mwana lumumba anaona ni point hiyo
 
Tatizo lako ni elimu ya mulugo ndio inakusumbua kichwani
wewe elimu ya CRSH PROGRAM ndio ina kutatatiza kichwa chako na fikra zako.
Babu duni kasepa , ni kama samaki umtoe ndani ya maji , kwa vyovyote
vile iwavyo hatokuwa na raha , ila ukimruduisha majini utaona makeke yake
sasa babu duni karudi majini kwake aliko zoea kuishi siku zote.
 
wewe elimu ya CRSH PROGRAM ndio ina kutatatiza kichwa chako na fikra zako.
Babu duni kasepa , ni kama samaki umtoe ndani ya maji , kwa vyovyote
vile iwavyo hatokuwa na raha , ila ukimruduisha majini utaona makeke yake
sasa babu duni karudi majini kwako aliko zoea kuishi siku zote.
=majini KWAKO aliko zoea=
 
Afadhali mashetani yanasambaratika baada ya mbinu zao chafu za kisanii na ghilba kufeli.tungekuwa wapi haya matapeli ya kisiasa yangepora nchi hii.mana yake mzee wa ndembendembe yupo tayari hata kumkana baba yake kwa ajili ya madaraka
 
WanaJF,

Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!

Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.

Pole Mbowe na fisadi Lowassa.
Mods, pamoja na kuifanyia mabadiliko hii site yenu mlipaswa kutuletea kale ka-button ka kuonesha kuwa topic hii ni upuuzi. Huwa kanafanana na ishara ya dole gumba lakini likielekea chini. Huyu nyumbu alianzisha hii topic alistahili hako kadude.
 
Back
Top Bottom