Najua kinachofuata mwandishi wa hii thread utaandika "Lowasa aikacha CHADEMA arudi CCM"... tunasubiriWanaJF,
Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!
Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.
Pole Mbowe na fisadi Lowassa.
Kama sanaa anayoendeleza zzkSo waliwafanyia sanaa watanzania?
Kwa mwana lumumba lolote linawezekanaNajua kinachofuata mwandishi wa hii thread utaandika "Lowasa aikacha CHADEMA arudi CCM"... tunasubiri
Nasikia unaijua CCM mbele kwa mbele?
Mwambie gambazNIHAKI YAKE KIKATIBA KWAIYO ASIKUSUMBUE AKILI TAFUTA NENO JINGINE LAKUHUSU CDM HILO LAKULUDI CUF ANAHAKI
Kabisa mkuu.....maana wakishapigwa bob 7 kwa siku wanawaza uzushi tu..Kwa mwana lumumba lolote linawezekana
Kama wewe ulivyo skeletonSuala la muda tu..kila mmoja atarud alipotoka...itabaki skeleton tu.
UmeonaeeeeeNi upuuzi kuongelea jambo kama hili
Teh Teh kamanda Babu Duni ni msalitiFika salama CUF. Ukweli CUF si wapinzani na inajulikana, hapa CDM inajitahidi tu kuwaleta karibu. Na ninakuambia hata Zanzibar mtashangaa yatakayotokea kuhusu Urais wake!!!
ndo hivyiMie nilidhani alihamia chadema kimwili kwa lengo maalumu, but kiroho yupo CUF siku zote.
Chadema acheni usanii, nyie ni jipu lingine.tumbuaneni sasaHilo sio pigo kwa CHADEMA kwani mie nadhani kuja kwake na kuondoka kwake
CDM hakuja badili chochote, zaidi alikuwa yuko kama mtalii aliyetoka kwake
kaaamua kwenda mahala mji wa kigeni aka talii sasa leo anarudi kwake.
Ya kweli haya?WanaJF,
Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!
Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.
Pole Mbowe na fisadi Lowassa.
NKIKUMBUKA WEWE UNAYEJIITA MMAWIA ULIKUWA HUKAUKI HUMU NDANI KIPINDI CHA KAMPENI ZA UCHAGUZI, BAADA YA BABU YAKO KUPIGWA CHINI KASI YA KUINGIA HUMU IMEPUNGUA, POLE SANA CCM CHAMA KUBWA WEKA MBALI NA WATOTO.Kwa ufinyu wa akili yako unaona hivyo
WEWE MCHUMIA TUMBO BADO UPO? Hahahahaha MBWEMBWE ZENU ZOOTE KWISHA HUKOOOOO NJAA IMEWATAWALA SASAHaditho ya Ofisi kusubiri mkono wa binadamu uanguke