Mkuu mleta uzi ni nyumbu hivyo kumlaumu ni kumuoneaHilo lilitarajiwa hakuna scoop hapo labda kama mleta thread hajui somo analolizungumzia!!
Nyani kikongweWewe uwezo wako wa kufukili ni -1.
Ahaaa......wewe ni "nguruwe mwenye mimba".Nyani kikongwe
Njaa inawapelekesha maana lumumba buku 7 zimekatikaHuu uzi juzi alizuka nayo Lizaboni halafu huyu wa leo sijui Proud to Tzn. Nawauliza MAGAMBA mmekuwa na wivu wa uke wenza au ???????????!!
Sengerema hawajambo?Ahaaa......wewe ni "nguruwe mwenye mimba".
vipi na wewe "uke...rewe" kwenu wazima wa afya.Sengerema hawajambo?
umeongea ukweli ambao baadhi ya watu watakukashifu au watakubishia.Hii sio habari yenye kuleta mshtuko sana maana CUF ndio kwake na alikuja chadema ili kuunganisha nguvu ya UKAWA isije kuonekana kuwa UKAWA imemezwa na CHADEMA.
Njaa inawapelekesha maana lumumba buku 7 zimekatika
Endelea na kazi yako ya kupara miwa ya juicevipi na wewe "uke...rewe" kwenu wazima wa afya.
wewe endelea na kazi yako ya kuvua "ngere".Endelea na kazi yako ya kupara miwa ya juice
Wenzio tunapara samakiwewe endelea na kazi yako ya kuvua "ngere".
Wewe utakuwa mat.ako ya mamako wewe! Kama kitu hukijui si bora ukanyamaza! Yaani hujui lengo la babu Duni kuhamia CHADEMA ilikuwa nini? Lengo lilikuwa limetimia ila alaaniwe Lubuva!WanaJF,
Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!
Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.
Pole Mbowe na fisadi Lowassa.
Toka lini ukaweza kufanya hivyo..?Wenzio tunapara samaki