Piga picha hapo ulipo then tupia hapa

Piga picha hapo ulipo then tupia hapa

Fasouls

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
937
Reaction score
321
Habari zenu wakuu naona X-mass ndio imepamba moto, Nadhani kwa mda huu utakuwa maeneo fulani umetulia,inaweza kuwa beach,nyumbani au kama uko club unaweza piga picha vinywaji. Karibuni
 
,Mimi sijaenda kokote napitia jf kwa mbali,mlio out pls zingatie mida yakurudi makwenu
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1356450575306.jpg
    uploadfromtaptalk1356450575306.jpg
    93.8 KB · Views: 233
Habari zenu wakuu naona X-mass ndio imepamba moto, Nadhani kwa mda huu utakuwa maeneo fulani umetulia,inaweza kuwa beach,nyumbani au kama uko club unaweza piga picha vinywaji. Karibuni

Ungeanza na ww kuweka yako ingekuwa poa sana
 
Mi niko juu ya kiuno apa nikitupia jpg apa lazima nile ban mpaka mwaka keshokutwa!...
 
Ok. Nilikuwa natoa ANGALIZO tu kwa vitu vya promo! Ila kiwanja ulipo kitakuwa ni CHOKAmbaya Pub nini? Hata bilauri hakuna? naona mnapiga vuvuzela kwa kwenda mbele!!!

hee toka lini promo inabilauli?
 
Nanywa na kula kwa raha zangu, na burudani tele kwenye vichaka karibu ba hii baa. Mambo ya huku shamba Katavi, wee acha tu:

Mbuzi mitini.jpg
 
Habari zenu wakuu naona X-mass ndio imepamba moto, Nadhani kwa mda huu utakuwa maeneo fulani umetulia,inaweza kuwa beach,nyumbani au kama uko club unaweza piga picha vinywaji. Karibuni

Natamaani sana kupiga picha ya ama nilipo au viivyonizingira..!!Naiona barn hiyoooo....

Xmas njema na USITUTIE majaribuni...
 
Back
Top Bottom