Picnic ya wanajamiforums

Picnic ya wanajamiforums

Id unaziacha jamiii tu
Hii imekaa vizuri sana hii,kumbe tunaweza FURAHI PAMOJA haijalishi humu tulishatofautiana.DAAH SASA TUANDAE HATA YA GHARAMA NAFUU KWA WAKAAZI WA DAR.:A S wink:
 
Hivi na kubeba mabox miaka yote unataka kuniaminisha kwamba huwezi kwenda vacation binafsi na usafiri wako mpaka mchangishane na hawa watu wa fursa?

Mimi mara ya mwisho kushiriki ujinga kama huu ilikuwa wakati nipo secondary school miaka ya tisini wajanja walikuwa wanatuchangisha pesa ya kwenda picnic Rungwe oceanic na wao wanachofanya ni kukodi coaster tu kule beach kila kitu mnajitegema wao wako na mademu zao tena siyo wanafunzi wanatumbuwa pesa zenu tu. unajuwa kipindi chetu ukianza form one wale form four tayari wana ndevu na tulikuwa tunawaamkia.

funny is every where haijalishi umri , upo na nani? ... what its matter ni funny kurefresh mind..... unakosea sana Matola a lot of thing nakuona unacrush kama umepewa level nzuri unamaisha mazuri haina maana uwe wa kuhukumu upeo wa watu na hata maisha yao..... in this way your real boaring
 
funny is every where haijalishi umri , upo na nani ... what its matter ni funny kurefresh mind..... unakosea sana Matola a lot of thing nakuona unacrush kama umepewa level nzuri unamaisha mazuri haina maana uwe wa kuhukumu upeo wa watu na hata maisha yao..... in this way your real boaring

Anaboa mbayaaa....Hawa ndo prof Kabudi kawaweka kundi la wapumbavu...kujifanya wanajua kila kitu.
Ceter beribus meeting as group members kuna umuhimu wake na faida zake.
 
Last edited by a moderator:
Hey marafiki lets go somewhere tukae tuenjoy about life, anywhere Tarangire, Manyara, Seliani, Serengeti, Ngorongoro even for a week please members its fun we can share a lot about our differences and love as well.

Hela ni 40000 per each please just to feel happy life is amazing lets mess with nature is all good, pictures, memories we don't live forever, lets us be one and a smile in a universe please.

Hiyo figure mkuu inabidi utoe ufafanuzi kidogo unless kama ni wing ya Arusha inawezekana napo ni kwenda Tarangire, Manyara na Ngorongoro tu au wing ya Mwanza kuingia Serengeti (fafanua mkuu though idea nzuri)
 
funny is every where haijalishi umri , upo na nani ... what its matter ni funny kurefresh mind..... unakosea sana Matola a lot of thing nakuona unacrush kama umepewa level nzuri unamaisha mazuri haina maana uwe wa kuhukumu upeo wa watu na hata maisha yao..... in this way your real boaring

Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza
 
Last edited by a moderator:
Hii imekaa vizuri sana hii,kumbe tunaweza FURAHI PAMOJA haijalishi humu tulishatofautiana.DAAH SASA TUANDAE HATA YA GHARAMA NAFUU KWA WAKAAZI WA DAR.:A S wink:

Kabisa mkuu me napendekeza sunrise beach mjimwema
 
Hivi na kubeba mabox miaka yote unataka kuniaminisha kwamba huwezi kwenda vacation binafsi na usafiri wako mpaka mchangishane na hawa watu wa fursa?

Faza....sitaki kuamini kwamba umekichukulia maanani nilichokisema.

Yaani mimi nijichanganye na watu wa JF kupitia mkusanyiko ulioanzia humu?

Labda siku ambapo mushtara itagongana na dunia ndo naweza fanya hivyo lakini mpaka sasa nimeridhika na faragha niliyonayo na sitaki wala sitamani kujichanganya na watu kutoka na kupitia humu!
 
Hata mimi sijaelewa 40,000 Tsh for a week???? Kuna ruzuku ya serikali hapo nini? But its a good idea.

hiyo 40,000 bia zitakuwepo au picnic ambayo haina kilauri hapana aisee

Bado hajaja tu kutoa ufafanuzi maana naona kama kuna ruzuku ya usafiri na kikubwa route inaanzia wapi, ukiangalia sehemu kama Tarangire, Manyara, Ngorongoro mpaka Ngorongoro crater zipo karibu karibu yaani location moja na ambazo ni rahisi kufikika kwa watu wa mkoa wa Manyara, Arusha na Babati hata Kilimanjaro na ukiongeza na Serengeti ambayo yenyewe ipo location nyingine na ambayo ni rahisi kufikika kwa watu wa Mwanza, Simuyi, Mara, hapo ndio huo mnyumbuliko wa hiyo 40,000/= unapohitajika maana kichwa kimoja tu kinaacha 1,500 kwa kila hifadhi bado kulala na kula hata kama kutakuwa na tent za ruzuku bado utatakiwa kila tent ukiiweka tu kwenye picnic site unachajiwa 1,500 per day. (kikubwa hao wanajamii forum ni wa wing ipi)
 
Faza....sitaki kuamini kwamba umekichukulia maanani nilichokisema.

Yaani mimi nijichanganye na watu wa JF kupitia mkusanyiko ulioanzia humu?

Labda siku ambapo mushtara itagongana na dunia ndo naweza fanya hivyo lakini mpaka sasa nimeridhika na faragha niliyonayo na sitaki wala sitamani kujichanganya na watu kutoka na kupitia humu!
wasingeweza hata kukugundua kama hujajisema.
 
hahahahha chezea masai weye

Sasa mambo ya kumlinda mwanamke physically wakati psychologically yuko vulnerable si ni ndio hii dawa yao kuchukua contact halafu kwa muda muafaka roho zikiridhia na miili kuwiwa na hamu mnafanya yenu wakati "mr kamanda lindalinda" asipokuwepo tu!!!!
 
mbeba box haupo mwenyewe bhana,labda watatokea kama wanne hivi

Mind you, siyo kila mbeba maboksi kawiva. Wale wabeba maboksi waliotokea uswazi wako tofauti na wale wabeba maboksi waliotokea ushuani
 
Sasa mambo ya kumlinda mwanamke physically wakati psychologically yuko vulnerable si ni ndio hii dawa yao kuchukua contact halafu kwa muda muafaka roho zikiridhia na miili kuwiwa na hamu mnafanya yenu wakati "mr kamanda lindalinda" asipokuwepo tu!!!!

meona eeeh mwanamke hachungwi hata siku moja anajiongoza mwenyewe mr lindalinda apewe darsa nahisi bado anakuwa lol
 
Tunaenda wapi sasa? Inawezekana mnakotaka kwenda kwahiyo nauli ya 40,000/= mimi niko maeneo hayo na ninaweza kufika kwa miguu ndani ya dk 5,je,nami nitalazimika kutoa kiasi hiko cha fedhwa?
Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom