Picnic ya wanajamiforums

Picnic ya wanajamiforums

kuna kenge mmoja aliecha Mpwa wangu Elli kapigwa ban, mjulisheni kuwa Elli yuko Tanga na atahakikisha hio BAN anailipia kwa gharama zozote. Nitaongea nae ili na yeye awe miongoni mwetu. Ile ya Aga Khan ilikuwa pouwa sana hasa ule msosi wa mchana. Asnam Elli anakusalimia, eti yuko kifungoni hadi hapo itakapotamkwa vinginevyo

ooh mpe pole kwa kupigwa ban,msalimie pia.
 
Last edited by a moderator:
Mind you, siyo kila mbeba maboksi kawiva. Wale wabeba maboksi waliotokea uswazi wako tofauti na wale wabeba maboksi waliotokea ushuani

Kuna pipo mnambwembwe jamani, nilikuwa nawackia tuu daahh
 
Mahusiano, mapenzi, urafiki
Topic: Picnic ya wanajamiforums
Page 9 of 9 ... 9
REALITY 02:50 Yesterday
Hey marafiki lets go somewhere tukae
tuenjoy about life, anywhere Tarangire,
Manyara, Seliani, Serengeti, Ngorongoro even
for a week please members its fun we can
share a lot about our differences and love as
well.
Hela ni 40000 per each please just to feel
happy life is amazing lets mess with nature is
all good, pictures, memories we don't live
forever, lets us be one and a smile in a
universe please.
Faida 10 za ARGI+: Inasaidia kurekebisha
kiwango cha "blood pressure” kiwe sahihi
na afya ya mzunguko wa damu ya moyo
kiujumla. Fahamu faida zaidi
miss chagga 22:16 Yesterday
By REALITY:
lawama hizo miss chagga ,nani atakubeba au
shemu
Shemeji yangu Matola atabeba
REALITY 22:21 Yesterday
By Matola:
Huu ni ubabaishaji, umewajuaje hao volunteer?
umejuaje matola ni ID yako
Thoomas 22:22 Yesterday
kuna kenge mmoja aliecha Mpwa wangu Elli
kapigwa ban, mjulisheni kuwa Elli yuko Tanga
na atahakikisha hio BAN anailipia kwa gharama
zozote. Nitaongea nae ili na yeye awe miongoni
mwetu. Ile ya Aga Khan ilikuwa pouwa sana
hasa ule msosi wa mchana. Asnam Elli
anakusalimia, eti yuko kifungoni hadi hapo
itakapotamkwa vinginevyo
REALITY 22:23 Yesterday
By namlexink :
Karibumi serengeti jamaniiii...
ntakaribia nipe uhalisia kupo vipi sasa huko
Bulldog 22:35 Yesterday
By miss chagga:
Naomba gari kabisa ya kubebea halitatosha
Sawa mama, tutakuletea
REALITY 22:48 Yesterday
By miss chagga:
Shemeji yangu Matola atabeba
asikuangushe
miss chagga 22:53 Yesterday
By Bulldog :
Sawa mama, tutakuletea
Sawa asante binamu yangu i love u saaaaaana
take care wasikuibe
By REALITY:
asikuangushe
Awezi yule jembe
REALITY 23:13 Yesterday
By miss chagga:
Sawa asante binamu yangu i love u saaaaaana
take care wasikuibe
Awezi yule jembe
kama jembe mi mpini mi naingia siingiziwi lol
miss chagga 00:00 Today
By REALITY:
kama jembe mi mpini mi naingia siingiziwi lol
Pesa yako tu
miss neddy 00:53 Today
By Karucee:
Hahaha. Ngoja nicheke mie.
uliniahidi utanipeleka kwetu pazuri
unakumbuka?
REALITY 00:57 Today
By miss chagga:
Pesa yako tu
okeyyyyyyy
asfa mbekenga 01:53 Today
Am interested... Give the schedule plz
CYBERTEQ 04:24 Today
By miss chagga:
funny is every where haijalishi umri , upo na
nani? ... what its matter ni funny kurefresh
mind..... unakosea sana Matola a lot of thing
nakuona unacrush kama umepewa level nzuri
unamaisha mazuri haina maana uwe wa
kuhukumu upeo wa watu na hata maisha
yao..... in this way your real boaring
iweee, inifwakti ni kawaida yetu sisi wa
kamachumuu, lazima tutajetaje mai bilongingz
zetu, mtajuwaje kwakweri?
King'asti 04:32 Today
Hehehe ukitoka huko ntakuwa secretary wako,
kujibu sredi wanazokuanzishia. Ila sehemu ya
kugomba utatype mwenyewe
By Nyani Ngabu:
You don't believe me or what....?
mie siendi, namuogopa nyani ngabu asinione
By Kongosho:
Count me in pia.
Twende bana.
CYBERTEQ 04:32 Today
By Kyalow :
Binti kula 5!! Umemaliza kila kitu....anajiona
kama cleopatra yani
hahahahaa, mtake radhi Matola
Fahamu Namna ya kusafisha miili yetu ndani
kwa usalama na kupunguza mafuta mwilini
Page 9 of 9 ... 9

Copyright JamiiForums.com
 
... idea ni pouwa, lakini kumbukeni tu angalizo la kudeal na yatokanayo/yaambatanayo kisaikolojia! Maaana kuna washiriki wengine hujitokeza kwa ajili ya kucheck vimo na rangi za watu tu.
... baada ya safari washiriki wasifedheheke kukutana na thread zinazosema mbona wanaJF wengi wafupi sana na wanamacho mekundu!!

Hahahahah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom