OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Inaoyesha unatamani kulogwa asee.Ulizia Juma Njemba ni wawapi ili usichezee bustani za watu
Aaaanh kulogwa mi ndo napendaga!!!
Ni PM username yake mkuu
Inaoyesha unatamani kulogwa asee.Ulizia Juma Njemba ni wawapi ili usichezee bustani za watu
Aaaanh kulogwa mi ndo napendaga!!!
Ni PM username yake mkuu
brother unapotea sana!!!! hata zile anga zetu huonekani...
... idea ni pouwa, lakini kumbukeni tu angalizo la kudeal na yatokanayo/yaambatanayo kisaikolojia! Maaana kuna washiriki wengine hujitokeza kwa ajili ya kucheck vimo na rangi za watu tu.
... baada ya safari washiriki wasifedheheke kukutana na thread zinazosema mbona wanaJF wengi wafupi sana na wanamacho mekundu!!
Nitasubiri weekend ijayo.teh, teh, teh, ndio raha ya kukata tiketi mapema unachagua gari nzuri, na siti ya dirishani miss chagga, pole ndugu asakuta same, panda lolote kama hauna haraka ya safari subiri wiki ijayo.
asakuta same nitakutafuta mkuu next weekend weekend hii nipo na Kijana leo
funny is every where haijalishi umri , upo na nani? ... what its matter ni funny kurefresh mind..... unakosea sana Matola a lot of thing nakuona unacrush kama umepewa level nzuri unamaisha mazuri haina maana uwe wa kuhukumu upeo wa watu na hata maisha yao..... in this way your real boaring
Poa weekend ijayo then
Binti kula 5!! Umemaliza kila kitu....anajiona kama cleopatra yani
hiyo 40,000 bia zitakuwepo au picnic ambayo haina kilauri hapana aisee
wakuu nimerudi
about 40000 ni mchango wa dishes,drinks,
about mabasi volunteer
najua wapo wengi tu
Nunua ya kwako home uje nayo
funny is every where haijalishi umri , upo na nani? ... what its matter ni funny kurefresh mind..... unakosea sana Matola a lot of thing nakuona unacrush kama umepewa level nzuri unamaisha mazuri haina maana uwe wa kuhukumu upeo wa watu na hata maisha yao..... in this way your real boaring
wakuu nimerudi
about 40000 ni mchango wa dishes,drinks,
about mabasi volunteer
najua wapo wengi tu
Niwie radhi kama nimekukwaza, kuna ID humu naziheshimu na wewe ni mmoja wapo, tuvumiliane pale tunapotofautiana mitazamo.
Ni hayo tu dada langu shemeji.