miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Last edited by a moderator:
Naomba gari kabisa ya kubebea halitatosha
Sawa asante binamu yangu i love u saaaaaana take care wasikuibeSawa mama, tutakuletea
Awezi yule jembeasikuangushe
kama jembe mi mpini mi naingia siingiziwi lol
Hahaha. Ngoja nicheke mie.
funny is every where haijalishi umri , upo na nani? ... what its matter ni funny kurefresh mind..... unakosea sana Matola a lot of thing nakuona unacrush kama umepewa level nzuri unamaisha mazuri haina maana uwe wa kuhukumu upeo wa watu na hata maisha yao..... in this way your real boaring
You don't believe me or what....?
Count me in pia.
Twende bana.
iweee, inifwakti ni kawaida yetu sisi wa kamachumuu, lazima tutajetaje mai bilongingz zetu, mtajuwaje kwakweri?
Aaaanh kulogwa mi ndo napendaga!!!
Ni PM username yake mkuu
kuna kenge mmoja aliecha Mpwa wangu Elli kapigwa ban, mjulisheni kuwa Elli yuko Tanga na atahakikisha hio BAN anailipia kwa gharama zozote. Nitaongea nae ili na yeye awe miongoni mwetu. Ile ya Aga Khan ilikuwa pouwa sana hasa ule msosi wa mchana. Asnam Elli anakusalimia, eti yuko kifungoni hadi hapo itakapotamkwa vinginevyo
hahahahaa, mtake radhi Matola