Picnic ya wanajamiforums

Picnic ya wanajamiforums

Wakware hutumia nafasi hiyo kutafuta partners. Demu wangu ni memba humu na anapenda sana mitoko ya namna hii, sijui kama akisoma hapa ataacha ku-bid. Na nimeshajua user name yake acha nisubiri asije kuja niambia ooohh tunaenda kwenye kitchen party ya rafiki yetu tulisoma naeee.

Mtanikuta huko huko, ole wako nikukute umemumbatia eti unajifanya unamwonye shatembo nitakukaanga mayai ya chini

We vipi....kwani yeye hajui kwamba anamilikiwa na wewe? Kama yeye kakubali kukumbatiwa we kisirani cha nini? Kwani amekuwa mbuzi huyo kwamba ameibwa na kashindwa kuresist?
 
Hivi na kubeba mabox miaka yote unataka kuniaminisha kwamba huwezi kwenda vacation binafsi na usafiri wako mpaka mchangishane na hawa watu wa fursa?

Mimi mara ya mwisho kushiriki ujinga kama huu ilikuwa wakati nipo secondary school miaka ya tisini wajanja walikuwa wanatuchangisha pesa ya kwenda picnic Rungwe oceanic na wao wanachofanya ni kukodi coaster tu kule beach kila kitu mnajitegema wao wako na mademu zao tena siyo wanafunzi wanatumbuwa pesa zenu tu. unajuwa kipindi chetu ukianza form one wale form four tayari wana ndevu na tulikuwa tunawaamkia.

Acha weweee....kutoka wengi kuna raha yake
 
Acha weweee....kutoka wengi kuna raha yake

Tunatofautiana misimamo, kutoka ni vizuri kwa watu mnaofahamiana, nimefanya kazi kwenye tourist company kwa muda mrefu najuwa vyema maana ya group na raha zake thats why those back days tukiwa shule Picnic zilikuwa zinabamba sana.

Lakini leo nikitaka mtoko wa group itabidi tuorganise watu tunaojuwana kama watano kama mkiwa na wenza maana yake mpo 10 mnawasha magari mnaenda kujiachia mnapopenda.
 
Hey marafiki lets go somewhere tukae tuenjoy about life, anywhere Tarangire, Manyara, Seliani, Serengeti, Ngorongoro even for a week please members its fun we can share a lot about our differences and love as well.

Hela ni 40000 per each please just to feel happy life is amazing lets mess with nature is all good, pictures, memories we don't live forever, lets us be one and a smile in a universe please.
...kama MSALANI na Ritz watakuwepo asee siji, wataniharibia mudi ya picknic....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom