Picnic ya wanajamiforums

Picnic ya wanajamiforums

... idea ni pouwa, lakini kumbukeni tu angalizo la kudeal na yatokanayo/yaambatanayo kisaikolojia! Maaana kuna washiriki wengine hujitokeza kwa ajili ya kucheck vimo na rangi za watu tu.
... baada ya safari washiriki wasifedheheke kukutana na thread zinazosema mbona wanaJF wengi wafupi sana na wanamacho mekundu!!
duu wee Steve Dii umenifanya niloff in nimechekaje hapo kwenye red
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kumbe unafuatiliaga comment zangu? Mzee Mweupe ni mtu maarufu sana hapa Namanyele, ni jina kama lako lile la kwenye cheti

Khaaaa....kwa nini umeniuliza kama nafuatiliaga comment zako? Tuanzie hapo kwanza then tutakuja kwenye hilo la majina kwenye vyeti.
 
Je yeye akizimika flag??!!!
Na hivi ni porini, atachukuliwa na ukizingua unakula nakoz!!!!

We jiandae naye kwa kishirikiana na yeye awe katika mood basi huo ndio muafaka la sivyo ntachukua namba na kuja kumalizana naye kitaa!!!!

hahahahha chezea masai weye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom