Picha: Ziara ya Rais Kikwete nchini Oman

Picha: Ziara ya Rais Kikwete nchini Oman

KWA RAHA zake jk,mbona benjamin fisadi alikpokawa anaenda vatican na mapengo kwa ziara ya kiserikali hakuwa anapewa kejeli kama hizi
jaman kizam zam acheni donge basi...!!
😛uke:
 
Hivi huyo Mfaume amevaa nini Gauni ama kanzu? mbona ana afya na mwili kama wa waarabu wa kariakoo is it Mfaume kweli ama?
 
KWA RAHA zake jk,mbona benjamin fisadi alikpokawa anaenda vatican na mapengo kwa ziara ya kiserikali hakuwa anapewa kejeli kama hizi
jaman kizam zam acheni donge basi...!!
😛uke:
Hapo ndipo unapotaka kuharibu mkuu wangu. Hawa marais uliowataja wote wezi tu hakuna mwenye nafuu!! muda tu ndiyo unatofautiana mkuu. Mbaya zaidi wanafaidika na ujinga wa watanzania tulio wengi.
 
Kikwete anamuonesha Mfalme sample ya wanyama watakaopelekwa "next consignment"; hao ni dume na jike, kama ilivyokuwa kwa twiga.
 
Kwani mlitaka rais wetu JK atoe zawadi gani ? any suggestions?
 
kama kuna mtu dunia hii mishipa ya aibu imekatika kabisa basi jk ni namba moja!!!mtu gani hatulii nyumbani huyu??masikini hela yangu ya kodi..dah,hivi kabakisha nchi ngapi?
 
Hivi huyo Mfaume amevaa nini Gauni ama kanzu? mbona ana afya na mwili kama wa waarabu wa kariakoo is it Mfaume kweli ama?

hahaha wabongo bana! kwahiyo afya hadi uwe na kitambi?
 
jk na membe walikuwa wanashangaa kwenye kasri la mfalme..mimacho juu,alianza jk kushangaa dari(nafikiri la dhahabu),a copy-cat joka la mdimu nalo linakatupia macho juu kumuiga boss,..
 
Mfalme atapewa zawadi ya kitalu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Duuh Wabongo hasira nyingi na kutokujua kwingi.....
 
Diplomatic Passport mtu hupiga tu simu au kutuma picha inakuwa tayari kama "sheria ya kumiliki silaha kule Rwanda", unaomba asubuhi unaipata jioni.
 
Hivi kuna makanisa kweli Oman?naona minara ya misikiti tu!waliofika huko tafadhal,naomben ufafanuzi.
 
Naapa kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwangu kwamba sitampigia kura mgombea yeyote yule Mwislam katika nafasi ya Urais kwani hawana akili kabisa.
 
Kwani Muislam akiachana na mke si anaruhusiwa kuoa wa pili?

BTW

Hawa Wa Oman ni wafuasi wa sect inayoitwa IBADHI na moja kati ya Imani zao ni kuwa Qur'an SIYO maneno ya Mwenyezi Mungu.
Da! yana ukweli haya??!!
 
Back
Top Bottom