Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said wakipokea heshima za viongozi muda muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili jijini Muscat Oman leo mchana kwa ziara rasmi (State Visit) ya siku tatu nchini Oman.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri la Sultani jijini Muscat leo (Picha na Freddy Maro)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri ya AL Alam jijini Muscat Oman jana jioni muda mfupi kabla ya dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa kwa heshima yake.
Sultani wa Oman,Qaboos bin Said Al Said akimtunuku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nishani ya juu ya heshima, Taifa la Oman wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake jana jioni katika kasri ya AL Alam jijini Muscat Oman.
Sultan Qaboos bin Said Al Said akimpongeza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kumtunuku nishani ya juu ya heshima ya Taifa la Oman jana jioni katika kasri ya AL Alam. Jijini Muscat Oman jana jioni .Rais Kikwete aliwasili nchini Oman jana jioni kwa ziara rasmi ya siku nne. Picha na Freddy Maro
Ikumbukwe kwanza kuwa kuna historical ties kati ya Tanzania na Oman kwa muda mrefu. Pamoja na halo ikumbukwe mambo mawili muhimu:
a. Kuelekea uchaguzi mkuu wa 2005 Rais Kikwete alipokea karibu dola milioni 2 kwa ajili ya kampeni toka Oman
b. Yule mmiliki wa Dowans aliyekuja wakati ule ni mtu wa karibu sana wa Qaboos; kwa wanaokumbuka yule bwana ana asili ya Zanzibar.
Mwanakijiji,
Historical ties my foot. Historical ties yangu mtu wa bara na Oman ni ndugu zetu kuchukuliwa watumwa. Huo si uhusiano wa kihistoria ambao ningependa kuuendeleza. Nakubali kuwa a. Kikwete amenunuliwa na hela za Oman na b. Anaendelea kufaidika na ufisadi wa Dowans. Hakuna cha historical ties.
Jasusi,
Zipo historical ties za kutosha na ndugu zetu hawakuchuliwa bila ridhaa yetu. Makabila yenye nguvu kama wanyamwezi, wahehe, na wayaho yalihusika kwenye biashara hiyo kwa juhudi zote.
Mwarabu nyoronyoro hawezi kwenda kwenye misitu ya congo bila msaada wako.
Ni sawa na sasa mchina anakwenda kuchimba dhahabu Butihama halafu mnauliza kibari kakitoa wapi?
Ikumbukwe kwanza kuwa kuna historical ties kati ya Tanzania na Oman kwa muda mrefu. Pamoja na halo ikumbukwe mambo mawili muhimu:
a. Kuelekea uchaguzi mkuu wa 2005 Rais Kikwete alipokea karibu dola milioni 2 kwa ajili ya kampeni toka Oman
b. Yule mmiliki wa Dowans aliyekuja wakati ule ni mtu wa karibu sana wa Qaboos; kwa wanaokumbuka yule bwana ana asili ya Zanzibar.
Mwanakijiji,
Zipo historical ties na ambazo zingeweza kutumika kwa manufaa ya wananchi wa pande zote mbili. Lakini kutokana na sisi kuzubaa, ties hizo zinatumika kwa manufaa ya kijinga.
Ningependa Dubai Ports International waendeshe ports zetu.
Picha zipi mkuu? Never said anything like that.
Zakumi,
You have a point. Hivi tumelaaniwa? Umeona juzi kuna Mchina na washirika wake walikutwa wanachimba kwenye mbuga za wanyama akapewa faini ya shilingi milioni moja. Wala wazo la kumfukuza nchini halikuwaingia kichwani kabisa.
Tumelaaniwa?
Mimi naona hili tatizo sio CCM. Tuanze upya tu.
Not me mkuu. I don't access to delete your posts. I can only delete mine.
Kwani Muislam akiachana na mke si anaruhusiwa kuoa wa pili?
BTW
Hawa Wa Oman ni wafuasi wa sect inayoitwa IBADHI na moja kati ya Imani zao ni kuwa Qur'an SIYO maneno ya Mwenyezi Mungu.