Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

Msafara+wa+Slaa+BK.JPG
 
Sasa kumbe CDM hawaanzishi bali wanaboresha sasa hao wanaopiga kelele walikuwa wapi wakati vijana tayari wapo kazini ila sasa tunahamasishwa kujiunga zaidi.
 
Hii nchi siasa zinaendeshwa kama vilabu vya soka au pombe za kienyeji....migogoro tu na namna ya kuitengeneza...blue or red guard ni hatari kama ilivyo green guard period
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kinachonifurahsha ni sura na ukakamavu wa hao GUARD, mbona kikinuka seem kama vle ngoma itakuwa droo!!!!Kama vp kisanuke tu coz naona mama vle wananch weng tnapgwa magol ya ofsd ...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom