Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

2%20agost(1).jpg
 
maji.jpg

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo, akinywa maji kuashiria kuwa ni safi na salama kwa matumizi ya binadamu katika hafla ya kukabidhi mradi wa visima 15 katika Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe. Mradi huo umefadhiliwa na TBL.
 
kagamedrcicgconfernce.jpg

President Jakaya Kikwete with presidents (front-L) Paul Kagame of Rwanda, Yoweri Museveni of Uganda and Joseph Kabila of DRC moments before the opening of the International Conference on Great Lakes Region on DRC crisis in Kampala on Tuesday. (Photo: State House)
 
ajali%20tabora.jpg

Basi la Sabena aina ya Scania lenye namba za usajili T 570 AAM, lililopata ajali na kusababisha vifo vya watu 17 na wengine 78 kujeruhiwa.
 
shabibyaccidentwakenya.jpg

Lucky passengers who escaped narrowly after a Dar-Mwanza bound bus in which they were travelling overturned in Morogoro, after the bus driver lost control during an attempt to avoid a head-on collision. At least 40 passengers suffered minor injuries.
 
ajali%20moro.jpg

Basi la kampuni ya Allys Sport Bus linalosafirisha abiria kutoka Dar es Salaam na Mwanza likiwa limeacha njia na kupinduka baada ya kutokea ajali inayodaiwa kusababishwa na basi la Shabiby lililokuwa likitokea mkoani Dodoma kwenda Dar es Salaam na kusababisha mabasi matatu kuacha njia eneo la Mkundi Makunganya barabara kuu Dodoma-Morogoro ambapo katika ajali hizo zaidi ya abiria 40 walijeruhiwa mkoani hapa
 
albinolazaros.jpg

Under The Same Sun (UTSS Advocacy Officer Annael Lazaros displays ‘Albinism Worldwide' poster to residents of Busunda Village in Ukerewe District, Mwanza Region, yesterday. A team of UTSS staff is touring Lake Victoria zone regions conducting seminars and screening ‘White and Black: Crime of Colour' documentary in an effort to sensitise residents of the regions on the need to disabuse themselves of the mistaken belief that being born with albinism is a curse. (Photo: Emmanuel Kwitema - UTSS Ukerewe)
 
jk.jpg

Rais Jakaya Kikwete, akisoma barua aliyoandikiwa na mtoto Khaitham Jumbe (kulia), wakati wa futari aliyowaandalia watoto walemavu na yatima Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Katikati anayeangalia, ni mtoto Hamida Jacks, mdogo wake Khaitham. Mtoto Khaitham Jumbe, ni mlemavu wa ngozi na alikwenda Ikulu na wazazi wake.
 
albinohides4yrs.jpg

Vicky Ntetema (L), UTSS Executive Director for Tanzania, in talks with members of Johnson Nyehure's family which has been living in the office of the Kiriba Village Executive Officer at Mugango for four years now following threats to their lives. They are from right, Johnson Nyehure, his wife Kudra, and their sons Masini, Maregesi and Magoti. (Photo: Emmanuel Kwitema – UTSS Mugango
 
iddi%20viongozi.jpg

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal ( wa tatu kushoto), akishiriki na waumini wengine wa dini ya Kiislamu katika swala ya Idd el Fitri katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussen Mwinyi (kushoto) na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaj Alhadi Mussa Salum.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom