Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

mwamuchiefstaff.jpg

Chief of Defence Forces General Davis Mwamunyange (R), Chief of Staff Lt. Gen. Abdulrahman Shimbo (L-foreground) and other TPDF officers arrive in Parliament in Dodoma yesterday ready to listen to budget estimates for the 2012/13 fiscal year tabled by Defence and National Service minister Shamsi Vuai Nahodha. (Photo: Omar Fungo)
 
waziri%20hufisa.jpg

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Terezya Huvisa, akitoa msimamo wa serikali wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Bunge mjini Dodoma jana kuhusu kubomoa nyumba zilizoko kando kando ya bahari na mito kutokana kuzingatia uharibu wa mazingira
 
jengo.jpg

Ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (NSSF) kwenye mzunguko wa barabara ya Florida ukiwa katika hatua za mwisho baada ya mafunzi kukutwa wakiweka vioo.
 
<center style="color: rgb(0, 0, 0); font-family: Georgia, Arial, Verdana; font-size: 14px; line-height: 20px; ">
july%2023.jpg
</center>
 
prayerszenjimaafa.jpg

Vice President Dr Mohamed Gharib Bilal (3rd-L) participates in special prayers for people who died in the tragic ferry boat accident last week. The event was held at Mwembe Shauri Mosque in Zanzibar yesterday. Other dignitaries who attended the prayers are Zanzibar President Dr Ali Mohammed Shein, Zanzibar Second Vice President Seif Ali Idd, Zanzibar retired President Amani Abeid Karume and Speaker of House of Representatives Pandu Ameir Kificho. (Photo: VPO)
 
<center style="color: rgb(0, 0, 0); font-family: Georgia, Arial, Verdana; font-size: 14px; line-height: 20px; ">
editorialsightmarine.jpg
</center>

<center style="color: rgb(0, 0, 0); font-family: Georgia, Arial, Verdana; font-size: 14px; line-height: 20px; "></center>

<center style="color: rgb(0, 0, 0); font-family: Georgia, Arial, Verdana; font-size: 14px; line-height: 20px; "></center>
 
chadema.jpg

Wabunge wa Chama cha Demokraia na Maendeleo wakiwa nje baada ya Naibu Spika kukataa taarifa iliyotolewa na Mnadhimu Mkuu wa kambi ya upinzani iliyotaka Bunge liahirishwe kutokana na msiba ulioipata taifa baada ya meli kuzama.
 
FutariDom.jpg

Members of Parliament, both Muslim and others, break the fast at the parliament grounds in Dodoma on Friday. The Iftar was organised by Muslim law-makers to show solidarity with colleagues who profess to other faiths. (Photo: PMO)
 
YangaBingwa.jpg

Wachezaji wa Yanga wakishangilia kutwaa kwa mara ya pili mfululizo na mara tano jumla Kombe la Kagame la klabu bingwa ya soka ya Afrika Mashariki na Kati, walilokabidhiwa baada ya kuifunga timu ya Azam 2-0 kwenye fainali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini. Yanga oyeeeeeeeeeeeeee
 
walimustudentsandamana.jpg

Pupils of Bwawani and Kijichi primary schools in Dar es Salaam take to the streets to protest against teachers' countrywide strike that began yesterday. Following the strike, hundreds of Standard One to Seven pupils from the two schools marched to Temeke District Education office, nearly10 kilometres away, to push for their right to education. (Photo: Khalfan Said)


wanafunziiiii.jpg

Wanafunzi wa Shule za Msingi za Bwawani na Kijichi Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam, wakiandamana kuelekea katika ofisi za Manispaa ya Temeke kudai haki yao ya msingi ya kupatiwa elimu baada ya walimu kuanza mgomo wa nchi nzima jana.
 
jk%20wlimu.jpg

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wahiriri na waandishi wa vyombo vya habari nchini Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom