Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

7naturalwondersvotetz.jpg
 
konoiketegetabrigdefinalisation.jpg




Konoike Construction Company workers finalise building of a bridge at Tegeta ( R ) on the Dar es Salaam-Bagamoyo road, whose 12.9-kilometre stretch from Mwenge to Tegeta is undergoing reconstruction, including being widened. (Combo photo: Tryphone Mweji)
 
kamati%20ya%20katiba.jpg

Wajumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mwantumu Malale (kulia), Maria Kashonda (aliyekaa), Riziki Ngwali (wapili kulia), Joseph Butiku (watatu kulia) na Yahya Msulwa (watatu kushoto) wakitazama namna sauti zenye maoni ya wananchi zinavyopokelewa Makao Makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam kutoka mikutano inayoitisha mikoani wakati wa ziara yao jana. Kushoto ni Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume hiyo, Hanifa Masaningana (wapili kushoto) ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid.
 
ilksongoarumeruvillagers.jpg

Ilkisongo villagers in Arumeru District, Arusha Region, display placards at the Arusha Regional Commissioner's office yesterday where they marched to seek the regional government's intervention in a water dispute pitting the village against four neighbouring villages. The villagers claim that the other villages have denied them the use of water from a stream they have been using since time immemorial. (Photo: Correspondent Cynthia Mwilolezi)
 
rockymarathonmwanza.jpg

Fourth edition of the Rock City Marathon underway in Mwanza yesterday. Kopiro Marwa and Marry Naali won for the men and women categories, respectively. (Photo courtesy of a correspondent)
 
nape%20kidole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye akipokewa na wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za chama hicho za udiwani kata ya Bugarama, Kahama, mkoani Shinyanga jana.
 

Mlezi wa Chadema Mikoa ya nyanda za Juu kusini,na mwanasiasa Mkongwe nchini, Thomas Nyimbo, akitangaza rasmi kukiacha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom