Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

picha%2022.jpg

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Beleshi (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana baada ya kufungua semina ya wapelelezi, polisi, mahakama na majaji. Kwa mujibu wa Mkurugenzi huyo, mafunzo hayo yalihusu mbinu za kisasa za kukabiliana na uhalifu wa utakatishaji wa fedha, biashara ya madawa ya kulevya, utaifishaji wa mali zilizopatikana kwa njia haramu na masuala ya ughaidi.
 
Unajua kwanini nilishangaa kuwa hii kama ni picha? ni kwavile watu tuna mtazamo tofauti kwenye kusoma na kuelewa haswa hizi katuni yaani pengine sijaweza kuisoma inavyotakiwa na nikajiuliza mpaka imekuwa stick. any way mkuu tuache hili nijibu pm ya kwa kitalolo@gmail.com
Mkuu.@kitalol hiyo ni picha inaonyesha Viongozi wa nchi walivyo Mafisadi kwa kutorosha Mali ya nchi na kupeeleka nchi za jirani hiyo ni katuni lakini ni mfano wa picha mkuu.
 
Mkuu.@kitalol hiyo ni picha inaonyesha Viongozi wa nchi walivyo Mafisadi kwa kutorosha Mali ya nchi na kupeeleka nchi za jirani hiyo ni katuni lakini ni mfano wa picha mkuu.


Asante mkubwa nitawasilia na masudi kipanya anijulishe kama huwa anachora picha au katuni tehetehetehe
 
editorialkamuhandajasho.jpg


Polisi wa Tanzania kwa kupenda kuuwa! sasa wana wauwa waandishi wa habari kasheshe kweli.....
 
msiba.jpg

Mmoja wa waombolezaji akisaidiwa na askari wa Jeshi la wananchi Tanzania (JWT, wakati wa kuaga miili ya wanajeshi watatu waliokufa Darfur katika misheni ya Kulinda Amani (PK) chini ya Umoja wa Mataifa Darfur nchini Sedan. Miili hiyo iliagwa katika kambi ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es Salaam jana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom