Picha yangu ya leo hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha yangu ya leo hii

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Dec 2, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  ipe maelezo yake unaionanje?
   

  Attached Files:

 2. driller

  driller JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huu ni ufisadi wa hali ya juu sana ambapo jitu linasema linaipenda tz halafu linaichukia kwa uroho wa pesa..! na serikali badala ya kufanya kitu inaona na kusema tu... ona ..ona.. ona kama vile lodi lofa kwenye mechi ya bon town na bushi star anamwambia kipa angalia hiyo goli linaingia..! wanafungwa kweli halafu baadae kipa anamwambia lodi lofa hukuniambia nidake uliniambia niangalie na mimi nikaangalia jinsi mpira ulivyokua unaingia na kwa bahati mbaya tukafungwa ndo hivyoooooo tulivyo na magamba yetu...!
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Na hii Je Picha inasemaje?

  [​IMG]
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  ukweli mtupu huu!
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  alafu analalamika kwa kutwambia sisi ambao hauna hata kacheo ka katibu kata badala ya kutumia nafasi yake kutoa maamuzi, kweli "Mitanzania ndivyo tulivyo"!
   
 6. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  CCM na serikali yake wanatubedua bedua wananchi wanavyotaka wao...............ipo siku, lazima na mii nitatafuta nafasi ya kumuingiza mtu kijiti cha kalio.........hata kama nitakuwa nimesafiri.........nitarudi kwa ajili ya kazi hiyo tu!!
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa.
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,490
  Trophy Points: 280
  ndiyo ni kweli.
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  walioshiba hawajui wenye njaa!
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Ukweli mtupu.
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Je hii picha inasemaje wakuu


  [​IMG]
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 13. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo mmenena wajomba
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu hiyo avatar yako mpya na 47 years inawakilisha umri wako??????????????
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Toa Maoni ya katuni
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Ndio mkuu lakini nimesha iondowa umeipenda nini Avatar yangu ?
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Toa Maoni ya katuni
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  muda wowote bomu linalipuka..
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Toa Maoni ya katuni

  Vitendo hivi vya udanganyifu vinaipeleka elimu yetu pabaya


  chanzo :: IPPMEDIA
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  chukua hatua tafakari haki ya kutoa maoni..
   
Loading...