Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

UbungoMachinga.jpg

Riot police (L) put under arrest a small trader found doing business just next to Mandela Expressway/Morogoro Highway junction in Dar es Salaam yesterday, as efforts to remove stones blocking the two busy roads continue (R).(Combo Photos: Omar Fungo)
 
Ubungo.jpg

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), akipiga bomu la kutoa machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogo ndogo, wakati wa operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara hao eneo la Ubungo jijini jana. Kushoto ni baadhi ya wafanyabiashara hao waliokuwa wakipambana na askari hao, wakishangilia kwa kuonyesha alama ya vidole viwili.(PICHA: OMAR FUNGO)
 
Main%20K.jpg

Mkazi wa jiji la Dar es Salaam akibusu Msalaba katika maadhimisho ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro jana.
 
Rwandakumbukumbu.jpg

Rwandan President Paul Kagame lights a torch at a Kigali graveyard yesterday in commemoration of the 1994 genocide victims. (Photo: Khalfan Said)
 
AmanKumbukwa.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka shada la maua katika kaburi la muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume jana viwanja Vya CCM Kisiwandui mjini Unguja.
 
MziziMkavu is banned?
MziziMkavu alikuwa anazungumza Mambo ya dini kule kwenye jukwaa la Dini na Mtu mmoja aitwae Mkuu kipala Mzizimkavu alimwambia Mkuu kipala anatoa Aya za Biblia kisha kutoa

ufafanuzi wa hizo aya anasema maneno ya uongo huyo Mkuu kipala ndipo Mkuu MziziMkavu alipo pigwa BAN na Mkuu moderator Buchachan

BAN yake inaisha tarehe 14/04/2012 ndivyo hivyo nimejaribu kumuombea kwa mkuu Invisible amelikataa ombi langu si unajuwa Kesi ya nyani na chui kumpelekea simba?

For what reason???
Hana kosa alilolifanya MziziMkavu kaonewa na Mkuu Moderator buchanan.
 
Main%20K.jpg

Mkazi wa jiji la Dar es Salaam akibusu Msalaba katika maadhimisho ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro jana.
'' Hakika nyinyi mnayaabudu masanamu mkaacha ibada ya Mwenyezi Mungu, na mnatengeneza uongo; bila shaka wale mnaowaabudu mkamuacha Mwenyezi Mungu, wao hawakumiliki riziki; takeni riki kwa Mwenyezi Mungu, na Muabuduni na Mshukuruni. Kwake mtarudishwa. Qur'an: 29:17.
 
'' Hakika nyinyi mnayaabudu masanamu mkaacha ibada ya Mwenyezi Mungu, na mnatengeneza uongo; bila shaka wale mnaowaabudu mkamuacha Mwenyezi Mungu, wao hawakumiliki riziki; takeni riki kwa Mwenyezi Mungu, na Muabuduni na Mshukuruni. Kwake mtarudishwa. Qur'an: 29:17.
Mkuu kwa imani ya kikristo poa tu hiyo kupiga busu msalaba, Si unajuwa kila mtu na imani yake. wewe unaona wakristo wanabudu masanamu kwa imani yako ya Kiislam lakini kwa Wakristo ni kitu cha kawaida Mungu ndie muamuzi wa mwisho siku hiyo inakuja acha tu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom