Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

Maasa.jpg

Mgombea ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari (kulia), akihutubia mkutano wa kampeni wilayani Arumeru jana. (PICHA: KHALFAN SAID)
 
Usipoteze kura yako


MU+piga+kura.jpg


Usipopiga KURA, utakuwa unamkomoa nani, kama si kujiongezea matatizo? Acha Ujinga huo..!

(Muungwana ni Vitendo)
 
ACHA KUPIGA KELELE/KULALAMIKA


Tumia KURA yako kumwondoa kiongozi asiyekufaa na kumweka madarakani anayekufaa, na si kupigia watu kelele kwa kulalamika bila mpango.(Muungwana ni Vitendo)
 
Mnaziwatoto.jpg

These children had to climb up a coconut trees to witness the inauguration of water well project in Nangalu ward, Lindi district, performed by the district council Chairman Mathew Makwinya (not in picture) on Monday. (Photo: Correspondent Said Hamdan)
 
Mafuta.jpg

Baadhi ya wadau wa mafuta hapa nchini wakiwa katika kikao cha kamati ya Bunge ya Nishati na Madini tayari kuhojiwa na kamati hiyo inayoongozwa na January Makamba hayupo kwenye picha iliyofanyika jana.
 
Ndizi.jpg

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, akisalimiana na wanawake wajasiriamali wanaouza ndizi katika soko la Kiwira, wilayani Rungwe juzi. (Picha na Emmanuel Lengwa)
 
Lowasa%20Sioi.jpg

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM, Sioi Sumati kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Kikatiti wilayani Arumeru mkoani Arusha jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom