UKWELI NI UPI KUHUSU HIKI KIWANDA CHA BAKHRESAA

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
456
Reaction score
997
Wakuu kuna mjadala nimeukuta facebook sasa nilitaka kujua ukweli wa jambo ukoje

Maana inasemekana wao ili wakupe kazi hawahitaji nida,passport wala kadi ya mpiga kura isipokuwa nguvu zako tu ila mziki wake utapenda we na roho yako

Picha linaanza

.Unakimbia na roba la kilo 50 begani/kichwani tangu asubuhi hadi jion

.Ukishaingia unapewa jezi/nguo za kazi halafu nguo zako unaziweka pembeni lakini unaambiwa ukishakaa humo ndani dak 15 tu nguo zako mwenyewe unaanza kuzivizia ukimbie

.Kazi unafanya wewe peke yako lakini unasimamiwa zaidi ya watu wawili

.Unaambiwa walinzi wa humo ndani ni waungwana sana kiasi kwamba hata ukienda chooni unasindikizwa ili usikimbie ukaacha hela yako

.Hiki kiwanda kazi unaomba leo siku hiyo hiyo unapata kazi na muda huohuo unaanza kazi na kazi unaacha siku hiyo hiyo

Haya yanayosemwa yana ukweli
768704137_1404712305137137_7158848175863424289_n.jpg
 
Apo kiwandani kuna maisha ya utumwa wa kipato cha fedha yaani chagua uishi ili uteseke au uteseke ili uishi
 
Wakuu kuna mjadala nimeukuta facebook sasa nilitaka kujua ukweli wa jambo ukoje

Maana inasemekana wao ili wakupe kazi hawahitaji nida,passport wala kadi ya mpiga kura isipokuwa nguvu zako tu ila mziki wake utapenda we na roho yako

Picha linaanza

.Unakimbia na roba la kilo 50 begani/kichwani tangu asubuhi hadi jion

.Ukishaingia unapewa jezi/nguo za kazi halafu nguo zako unaziweka pembeni lakini unaambiwa ukishakaa humo ndani dak 15 tu nguo zako mwenyewe unaanza kuzivizia ukimbie

.Kazi unafanya wewe peke yako lakini unasimamiwa zaidi ya watu wawili

.Unaambiwa walinzi wa humo ndani ni waungwana sana kiasi kwamba hata ukienda chooni unasindikizwa ili usikimbie ukaacha hela yako

.Hiki kiwanda kazi unaomba leo siku hiyo hiyo unapata kazi na muda huohuo unaanza kazi na kazi unaacha siku hiyo hiyo

Haya yanayosemwa yana ukweli
View attachment 3648163
Kuna jamaa yangu alitapika chakula alichokula mwaka jana humo
 
Back
Top Bottom