Ndondocha mkuu JF-Expert Member Feb 17, 2014 2,354 2,764 Oct 7, 2020 #41 Shararizo said: Wilaya gani? Click to expand... Peramiho
Shararizo Member Aug 14, 2017 40 19 Oct 8, 2020 #42 Ndondocha mkuu said: Peramiho Click to expand... Peru, kuna wilaya hapo mbinga, wanamtindo wa kuchukua kwanza walimu woteeee wajaze nafasi then kama kuna nafasi ndio wanachukuliwa wa mtaani.
Ndondocha mkuu said: Peramiho Click to expand... Peru, kuna wilaya hapo mbinga, wanamtindo wa kuchukua kwanza walimu woteeee wajaze nafasi then kama kuna nafasi ndio wanachukuliwa wa mtaani.
RoadLofa JF-Expert Member Mar 22, 2017 1,347 2,957 Oct 10, 2020 #43 euca said: Namshukuru sir god nimetoka kupga oral muda uliopita huku kwetu Click to expand... Mkuu ni maswali gani unayoulizwa kwenye oral interview NEC
euca said: Namshukuru sir god nimetoka kupga oral muda uliopita huku kwetu Click to expand... Mkuu ni maswali gani unayoulizwa kwenye oral interview NEC
Basi Nenda JF-Expert Member Jul 29, 2017 20,180 45,910 Oct 10, 2020 #44 gspain said: Watanzania wengi uwezo wa kuchanganua mambo ni sifuri, hawaelewi hata chanzo cha matatizo yao. Click to expand... unajua watu humshabikia jiwe kwa sababu matendo yake hayajawa affect.mfano polepole hawezi kuona mambo ya jiwe ni mabaya maana utawala huu umemnufaisha
gspain said: Watanzania wengi uwezo wa kuchanganua mambo ni sifuri, hawaelewi hata chanzo cha matatizo yao. Click to expand... unajua watu humshabikia jiwe kwa sababu matendo yake hayajawa affect.mfano polepole hawezi kuona mambo ya jiwe ni mabaya maana utawala huu umemnufaisha
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,520 86,081 Oct 10, 2020 #45 Muhimu: Usafiri wa Wagombea wetu ni Salama? Nilisema na Nitasema tena, Polisi ni dhaifu Kuzuia Mikutano ya Kisiasa: CCM wataumia zaidi ya Upinzani Ni kweli "wanampenda" JPM na "kumchukia" JK? Security Notice: Fanyeni haya Kujilinda! Kuna "Uasi" wa Wabunge wa CCM unaendelea? Kitendo cha Wabunge Kuzomea sio Ishara njema Lipumba asipomsikiliza mzee Rungwe atageuka jiwe la chumvi Hiki ndicho walichokivuna Chadema Nikichaguliwa Sitalipiza Kisasi!!!!!
Muhimu: Usafiri wa Wagombea wetu ni Salama? Nilisema na Nitasema tena, Polisi ni dhaifu Kuzuia Mikutano ya Kisiasa: CCM wataumia zaidi ya Upinzani Ni kweli "wanampenda" JPM na "kumchukia" JK? Security Notice: Fanyeni haya Kujilinda! Kuna "Uasi" wa Wabunge wa CCM unaendelea? Kitendo cha Wabunge Kuzomea sio Ishara njema Lipumba asipomsikiliza mzee Rungwe atageuka jiwe la chumvi Hiki ndicho walichokivuna Chadema Nikichaguliwa Sitalipiza Kisasi!!!!!
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,520 86,081 Oct 10, 2020 #46 Muhimu: Usafiri wa Wagombea wetu ni Salama? Nilisema na Nitasema tena, Polisi ni dhaifu Kuzuia Mikutano ya Kisiasa: CCM wataumia zaidi ya Upinzani Ni kweli "wanampenda" JPM na "kumchukia" JK? Security Notice: Fanyeni haya Kujilinda! Kuna "Uasi" wa Wabunge wa CCM unaendelea? Kitendo cha Wabunge Kuzomea sio Ishara njema Lipumba asipomsikiliza mzee Rungwe atageuka jiwe la chumvi Hiki ndicho walichokivuna Chadema Nikichaguliwa Sitalipiza Kisasi!!!!!
Muhimu: Usafiri wa Wagombea wetu ni Salama? Nilisema na Nitasema tena, Polisi ni dhaifu Kuzuia Mikutano ya Kisiasa: CCM wataumia zaidi ya Upinzani Ni kweli "wanampenda" JPM na "kumchukia" JK? Security Notice: Fanyeni haya Kujilinda! Kuna "Uasi" wa Wabunge wa CCM unaendelea? Kitendo cha Wabunge Kuzomea sio Ishara njema Lipumba asipomsikiliza mzee Rungwe atageuka jiwe la chumvi Hiki ndicho walichokivuna Chadema Nikichaguliwa Sitalipiza Kisasi!!!!!
Extrovert JF-Expert Member Feb 29, 2016 67,123 173,979 Oct 11, 2020 #47 dikteta2020 said: Polisi wamelazimika kutawanya umati mkubwa uliojitokeza jijini Dar es Salaam leo kuomba ajira za muda za NEC. Sisi kama taifa kusema kweli kuna mahali pakubwa mno tumeteleza. Hili sasa ni janga! View attachment 1591112 Click to expand... Hapo ukichunguza wengi ni graduates maskini ya mungu. Unakuta mtu ana miaka kitaa kazi hajapata kupunguza fedhea anaomba hata deiwaka tu mahali.
dikteta2020 said: Polisi wamelazimika kutawanya umati mkubwa uliojitokeza jijini Dar es Salaam leo kuomba ajira za muda za NEC. Sisi kama taifa kusema kweli kuna mahali pakubwa mno tumeteleza. Hili sasa ni janga! View attachment 1591112 Click to expand... Hapo ukichunguza wengi ni graduates maskini ya mungu. Unakuta mtu ana miaka kitaa kazi hajapata kupunguza fedhea anaomba hata deiwaka tu mahali.
mtoto mdogo sana JF-Expert Member Apr 16, 2020 460 1,337 Oct 11, 2020 #48 Extrovert said: Hapo ukichunguza wengi ni graduates maskini ya mungu. Unakuta mtu ana miaka kitaa kazi hajapata kupunguza fedhea anaomba hata deiwaka tu mahali. Click to expand... Mzee, hali ni mbaya sana huku. Hatuelewi
Extrovert said: Hapo ukichunguza wengi ni graduates maskini ya mungu. Unakuta mtu ana miaka kitaa kazi hajapata kupunguza fedhea anaomba hata deiwaka tu mahali. Click to expand... Mzee, hali ni mbaya sana huku. Hatuelewi
S Soulja boy JF-Expert Member Oct 3, 2015 2,981 5,277 Oct 11, 2020 #50 Extrovert said: Hapo ukichunguza wengi ni graduates maskini ya mungu. Unakuta mtu ana miaka kitaa kazi hajapata kupunguza fedhea anaomba hata deiwaka tu mahali. Click to expand... Ni noma mzee
Extrovert said: Hapo ukichunguza wengi ni graduates maskini ya mungu. Unakuta mtu ana miaka kitaa kazi hajapata kupunguza fedhea anaomba hata deiwaka tu mahali. Click to expand... Ni noma mzee
Mkaruka JF-Expert Member Feb 5, 2013 19,617 34,062 Oct 11, 2020 #51 gspain said: Watanzania wengi uwezo wa kuchanganua mambo ni sifuri, hawaelewi hata chanzo cha matatizo yao. Click to expand... Na 96% hapo hawajui hata tatizo lao linasababishwa na nini😭😭
gspain said: Watanzania wengi uwezo wa kuchanganua mambo ni sifuri, hawaelewi hata chanzo cha matatizo yao. Click to expand... Na 96% hapo hawajui hata tatizo lao linasababishwa na nini😭😭