Ungepelekwa huko labda kina Pdidy wangekuwa ni wajukuu zakoBora sikuwepo zamanii
Ungepelekwa huko labda kina Pdidy wangekuwa ni wajukuu zakoBora sikuwepo zamanii
Mpaka kesho zaidi zaidi Wazungu ndio wana roho mbaya wametengeneza mpaka HIV kutumalizaHizi roho mbaya mnajua kama bado zipo kwa wazungu na waarabu?
Msije mkajidanganya kuwa saizi ndiyo wamekuwa wema kwetu.
Wakwapi hapo waarabu!! Mbona mnaongea vitu msivyokuwa na uhakika navyo..heading na picha haviendani alafu wewe umekazania waarabu. Hii ngozi bwana ndiyo maana wazungu walinyanyasa sana babu zetuWatanzani ni waoga hadi leo huo uoga wanao hao waarabu hata wakiamua kuanzia leo wafanye mambo hizo wanaweza kiulainiiiii 2
UFANYE ngono zembe mwenyewe, then uje kusingizia wazungu kuwa wamekuletea ngoma. pambana na hali yako jombaaMpaka kesho zaidi zaidi Wazungu ndio wana roho mbaya wametengeneza mpaka HIV kutumaliza
Wanajitoa ufahamu..Hata mtu mweusi roho mbaya anayo.usikii kila siku hapa Tanzania watu wanauana?wanachinjana?
Huyo hajui utachoka tu,wengi wanaendeshwa na hisia za kidini na wanajua kwamba wazungu walipiga marufuku utumwa sababu ya huruma kwa mwafrika.....hatari sanaHakuna muarabu hata mmoja aliyewahi kukamata mtumwa huku kwetu bali walikuwa wanawanunua kutoka kwa machifu wao na hakuna mwarabu hata mmoja aliyemuuzia mzungu mtumwa. Wazungu wao walikuwa wanawawinda kwa bunduki huko West Afika na kwenda kuwauza Amerika. Kuhusu kupiga marufuku utumwa, inaonekana mwalimu wako hakuweza kukufafanulia vizuri sababu zilizosababisha biashara hii kupigwa marafuku
Kanzu ni vazi bora kuliko vazi lolote..na hao waliopostiwa sio waarabu bali ni wazungu. Hata picha umeshindwa kuzijuwa!!!Hawa warabu walikuwa hatari, hivi kanzu wameanza kuvaa lini?
Hawezi kukuelewa mkuu akili yake ameificha ndani ya box na anaamini wazee wetu walikuwa wajingaMbona Leo watu wanakuja wachache na wanaondok na dhahabu na Kila aina aina ya utajiri hushangai? Jiandae kujibu swali hili kutoka kwa vitukuu vyako.
Keshanyea kambi hawezi kurudi tena hapaHao ni waarabu wa wapi?
Kanzu ni vazi bora kuliko vazi lolote..na hao waliopostiwa sio waarabu bali ni wazungu. Hata picha umeshindwa kuzijuwa!!!
Mkuu eleza tu, asikubabaishe mtu humu..maana huongei uongo.Umekosea. Picha zote ni za wazungu hakuna ya muarabu hata moja hapo. Naogopa kukufunuli ukweli kuhusu ilivyokuwa biashara hii ya utumwa usije ukaniita muarabu mweusi ingawa fat ni kwamba hizo picha ni za west Afrika ambako wazungu walikuwa wanawawinda na binduki watu weusi na kuwakamata tofauti na huku kwetu waarabu walikuwa wakiwanunua watu weusi kutoka kwa mchifu wao. Najua inaweza kuwa ngumu kwako na mleta uzi kuamini kwasababu wengi wengu mnatumia hisia na imani zaidi kuliko logic. Na sijui ni kwanini watu wa namna hii wengi wanatokea maeneo ya chattle , kolomije and alike na nasikia hata albino mikasa yao ilianzia hukohuko nasikia pia wanawake wakizeeka wakiwa na macho mekundu wanauawa. So sad ukiwa unatafsiri vitu kwa kutumia hisia au imani utachelewa sana kustaarabika
We ndio wale wale,nakupuuza!UFANYE ngono zembe mwenyewe, then uje kusingizia wazungu kuwa wamekuletea ngoma. pambana na hali yako jombaa
Upo vizuri sana kiongozi..Hakuna muarabu hata mmoja aliyewahi kukamata mtumwa huku kwetu bali walikuwa wanawanunua kutoka kwa machifu wao na hakuna mwarabu hata mmoja aliyemuuzia mzungu mtumwa. Wazungu wao walikuwa wanawawinda kwa bunduki huko West Afika na kwenda kuwauza Amerika. Kuhusu kupiga marufuku utumwa, inaonekana mwalimu wako hakuweza kukufafanulia vizuri sababu zilizosababisha biashara hii kupigwa marafuku
Naam kiongozi, mwaga data wakuwelewe!Mkuu watu wa kolomije na chattle huwa hawawezi kutofautisha mzungu mwarabu na mhindi. Halafu wao ustaarabu wao uko nyuma kidogo nadhani karne mbili tatu zilizopita maana kwanza sifa yao ya kwanza ni chuki pili ubaguzi na tatu ni sadism. Angalia hata viongozi wa awamu hii
Chuki zinamsumbua, alafu kakimbia kusikojulukana.Hakuna waarabu hapo.ni chuki tu za mleta mada sijajua waarabu wamemfanya nini
Hata mimi nashangaa, wanamuangalia tu..Uongozi wa jf.mtu anapotosha watu humu.
Mmekaa tu kimya.
Hao waarabu wana tofauti gani na ccm?Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
Wazungu sio watu wazuri kabisa walitunyanyasa Sana hao jamaa vyakutosha
Aliyekunyanyasa ni yule aliyekuwa anakusomba kwenu kwenda kukupiga mnada. Ulisikia mzungu alienda nyumba hadi nyumba kubeba watumwa? Watemi wenu, waungwana na waarabu ndo walikuwa middle men wa utumwa na hata wengine walijichukulia huko kwao na mwisho wake waliwahasi. At least wazungu waliwaacha wakazaliana ndo maana tulipata akina Michael Jackson.Wazungu sio watu wazuri kabisa walitunyanyasa Sana hao jamaa vyakutosha
Sawa mkuu mpita-njia!Ndio nilikuwa najaribu linganisha bain ya hivyo vivazi na watajwa wa mleta hoja.