Wazungu wamewatesa sana Watu weusi wa Africa,Warabu wafika mwanzo Katika bara Afrika kabla Wazungu,Ukienda nchi za Afrika Magharibi sehemu nyingi watu wake ni Waislam dini iliyopelekwa na Warabu,cha kushangaza nchi hizo hazikutawaliwa na Warabu,Kama umeangalia movie ya "Kunta Kinte" watumwa wote walikotoka Afrika Magharibi kwenda Marekani na Caribbean walikuwa waislam
Nchi ya "Musa Bin Baik" (Mozambique) nchi hii watu wake walikuwa waislam dini iliyopelekwa na Warabu,Mreno alipigana na Warabu nchi akaichukua yeye,kwa vile Wareno walikuwa hawezi kutamka jina la "Musa Bin Baik" wakawa wanasema Mozambigue
Nchi alizokwenda Mwarabu wakati huo hakwenda kwa Kutawala,wao walikwenda kutangaza dini na kufanya Biashara,na ndio maana utakuta nchi nyingi zenye waislamu wengi hazikutawaliwa na mwarabu,tafauti na Wazungu,hawa watu walitawala nchi,waliwafanya wenyeji wa nchi hizo watumwa,waliwauwa wenyeji ,na nchi kuzifanya zao..
Marekani,Canada,Autralia nk,,Wenyeji wa nchi hizi wameuliwa na Wazungu,kuna makabila yametokomezwa kabisa hayako tena duniani,katika hizi nchi
Katika Uislam kuna sahaba(saint) anaitwa Bilal,Bilal alikuwa mtumwa,mtu mweusi kutoka Ethiopia,alinunuliwa na Mtume akawa huru,ni mtu wa mwanzo kuadhini kuwaita waislam kusali,ni mtu wa mwanzo Mtume kumbashiria Pepo...
Ilikuwa tabu kwa warabu kuwafanyia unyama watu weusi kwasababu ya imani yao ya kidini,bila shaka kuna warabu wamewafanyia unyama watu weusi lakini huwezi kufanananisha na Wazungu