Picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana

Picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana

hahahahahahahaah napenda sana kuona the beginning of the end of CHAMA CHA MAJAMBAZI...piganeni bwana mtoke madarakani tumewachoka majambaka ....

Hivi tendwa yuko wapi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi tendwa yuko wapi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
tendwa hawezi ongea kitu maana ccm ndo walimuweka hapo, inabidi na hii post isiwe ya kuteuliwa bali wananchi ndo tumchague maaana jamaa hafanyi kazi yake bali anaikomoa chadema, tupa kule hatumtaki na yeye
 
4701135_orig.jpg
UVCCM walivyowapokea viongozi wao wapya - kwa mabango na kichapo - katika ofisi za Makao Makuu ya Umoja huo leo. (picha, maelezo - blogu ya “Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua”)


5310993_orig.jpg



Source: wavuti.com - wavuti

CCM ni sawa na mbwa anayekula kinyesi chake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Inaelekea watamnyonga hadi kufa na siajabu kama IGP.RPC kama Kamuhanda ,Mwenyewe Raisi wanaagiza watu kuuawa sasa itashindikana vipi kwa UVGGM ,pole unayenyongwa sijui kama utabaki salama
 
kwanza kabisa wanatakiwa kwenda shule, watu wazima hata kuandika mabango ya kiswahili kazi, "Shigela karidanganya taifa" ndio nini?
watoto wao ndio kama hivi wanawake wao ndio kama vile, imagine wanachoweza kufanya kuwazima "wapinzani " wanaoingilia kati madaraka na ugali wao ...mabomu, risasi, mabwepande, udini etc etc etc. Yana mwisho haya...
 
Baadae wataunda tume kuchunguza! Hii ndio Chukua Chako Mapema
 
Inakuwaje tunakosa medali za Olimpiki ilhali mabondia matata wamejaa kule Magamba?

Wanaosema "CCM RIP in Advance" wameona mbali aisee!
 
Wakuu nimeshindwa kuziona kabisa hizo picha, ninatumia simu ya Huawei.

Dah!! ninakosa uhondo mtamu wa magamba!!!

Tafadhari wenye maujanja watusaidie ikiwezekana kuzi-attach kwenye post zenu moja moja au kuzi-convert katika format tofauti.

Nimejaribu kufanya mauchakachuzi hadi kwenye link ya Wavuti-wavuti lakini hali ni hiyo hiyo.

Please jamani msaada wa kiufundi!!
 
Wasivyo na akili, waloshika mabango wameficha nyuso zao. Aibu ya kifisadi. Natamani wangesikia sauti yangu nikiwaabia wavue magamba wavae magwanda
 
Wala hatutamsikia Tendwa akisema kitu kutokana na haya yote, ila ingekuwa ni kutoka chama chochote cha upinzani tungemuona na vifungu vyake vya sheria feki. Halafu huyu mwenye BANGO la maandishi mekundu (pichani) linlomlaani Shigela angelitoa tangu kipindi kile anadanganya umma kutokana na vifo vya raia wema kwenye mikutano ya CDM angalau tungemuelewa.


View attachment 69544
Mkuu utaalamu uliotumia kui-attach hii picha kwenye hii post yako, fanya pia kwa zingine zote zilizobaki ili sisi wengine tupate kuziona zote, maana kwenye main post hazionekani kabisa kwa baadhi ya sisi tunaotumia simu!!
 
Wasivyo na akili, waloshika mabango wameficha nyuso zao. Aibu ya kifisadi. Natamani wangesikia sauti yangu nikiwaabia wavue magamba wavae magwanda
Walishazoea kulishwa bure kwa posho nono, sasa njaa inaelekea kuwakumba wengi wao, hivyo inabidi nao waanze harakati, lakini bado wachanga sana.
 
na bado, uvukapo moshi moto unafuatia. acha wachapane
 
Hatimaye vijana wa CCM wameamua kugombania chama chao; hii ni 'nyang'anya nyang'anya!"
 
ccm ni chama ambacho hakika kinaelekea kubaya sana nafikiria hata KANU inaweza kuwa bora jinsi ccm itakavyokufa tusubiri tu maana wala si upinzania utakao kiua bali wao kwa wao
 
Magamba kwa magamba wanataka kutoana roho!!! Makubwa haya!!!
 
Hahaha. Lmao, hawa ndo vijana wetu ambao ndo taifa la leo. Tunasubiria ccm ilete mabadiliko. Ritz, umeona hii achievement?
 
Last edited by a moderator:
Huyo anaekabwa inasemekana ndio aliopokea fungu ili wamchague "Fulani", nae akawasiliana na wenzake
Sasa utata umekuja kua baada ya kufanikisha hilo zoezi la uchaguzi amewageuka wenzake, hataki kuwapa "chao".
 
Back
Top Bottom