Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Hiki ni kielelezo kuwa watu bado wanakipenda chama.
Waandamanaji hawazidi hata 6 ....tena wamelipwa...hii ni ishara kuwa watu wanapoteza Imani na CCM...nilitegemea Kama kundi linalompinga mwenyekiti wameshapata signature 300 ...ingetegemewa angalau kundi la maandamano Lowe kubwa.....na kuleta upinzani stahili kwa mwenyekiti mpya ...Lakini watu wenyewe Sita ..!? Inaonesha walioshinda ndio wenye nguvu na uhalali ...these are just spots of resistance
