Picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana

Picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana

Duh! Yaani huyo jamaa aliyekwidwa, kama kuna kitu alikuwa amemeza ni lazima akiteme!
 
Mi naona hao kama ni vibaka tu .............kwenye hiyo picha ya kwanza kuna jamaa mmoja kampiga jamaa "loba" na jamaa mwenye fulana nyekundu na huyo mwenye fulana ya yeboyebo......wote wamepeleka mikono yao kwenye mfuko wa suruali ya jamaa.......
 
hi niulize? mishahara ndani ya chama changu ccm inakuwaje? kila mtu anakimbilia siasa tu? sina jibu kabisa. au ukiingia huko ni ili upate nafasi ya kufanya dili? mfano mbunge aliye supply matairi tanesco?
 
very interesting BAVICHA na CDM hili ni somo kubwa sana kwenu hatutakia kusikia ujinga kama huu kwenye chaguzi ndani ya chama chetu! jifunzeni walipojikwaa magamba nyie mpakwepe lazima ionekane tofauti kati ya uvccm na BAVICHA!MARK CLEARLY MY WORDS!
 
4701135_orig.jpg
UVCCM walivyowapokea viongozi wao wapya - kwa mabango na kichapo - katika ofisi za Makao Makuu ya Umoja huo leo. (picha, maelezo - blogu ya “Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua”)







Source: wavuti.com - wavuti

Hivi kuwa mwanaccm lazima uwe mwizi? Tazama jamaa mwenye fulana nyekundu...tazama vidole vya mikono yake...kisha haonekani kwenye picha zingine zote maana alishapata alichokuwa anataka
 
Mkuu umenifurahisha sana na nimecheka mno. umemwita kwa jina stahili mkewe CCM ie mrs CCM ambaye ni cuf
 
Mi naona hao kama ni vibaka tu .............kwenye hiyo picha ya kwanza kuna jamaa mmoja kampiga jamaa "loba" na jamaa mwenye fulana nyekundu na huyo mwenye fulana ya yeboyebo......wote wamepeleka mikono yao kwenye mfuko wa suruali ya jamaa.......

hao sio vibaka, ni vijana wa uvccm wanadai pesa yao ya mgao baada ya kumpigia kura mgombea wa kundi flani.
 
Shigela karidanganya... vox pull... Ndio wasomi wa magamba na mawaziri wa kesho.
 
jamani sasa napata picha kama wao wanafanyiana hivi inakuwaje sasa wanataka sisi wananchi tuwaamini ni aibu kuendelea kuongozwa na watu kama hawa na tumewagundua wanapenda fujo wasije wakalaumu siku wakilianzisha kuvamia mikutano ya wenzao
 
Unaona vijana wao wanavyojifundisha ukabaji? CCM in chama cha majambazi, hebu fikiria kama angekuwa ni mfuasi wa chama kingine ingekuwaje?
 
Halafu hata kuandika hawajui eti "KARIDANGANYA, HUOZO" -ktk bango lenye maandishi ya rangi nyekundu.

kumbe ndio maana mwenyekiti wao, alikuwa anasema sasa CCM hatamu zichukuliwe na wasomi, enh?.. this statement was ilogical till now!
 
Mambo yote yatajulikana hapahapa duniani tena tanzania
 
Kweli hii CCM imeonesha kwa vitendo kwamba ina jenga nchi bila shaka CCM hii ndio enyewe hile ya mwalimu nyerere alikufa nayo!

Inabidi lowasa aingilie kati kunusuru mwanzo nilidhani ni mashabiki wa yanga wana pigana kumbe ni vijana wa Nape!

Hawa wanaonekana hawakupata mgao wa rushwa kabisa!
 
Nenda hata cafe uone jinsi CCmweli wanavyo jenga nchi.
Wakuu nimeshindwa kuziona kabisa hizo picha, ninatumia simu ya Huawei.

Dah!! ninakosa uhondo mtamu wa magamba!!!

Tafadhari wenye maujanja watusaidie ikiwezekana kuzi-attach kwenye post zenu moja moja au kuzi-convert katika format tofauti.

Nimejaribu kufanya mauchakachuzi hadi kwenye link ya Wavuti-wavuti lakini hali ni hiyo hiyo.

Please jamani msaada wa kiufundi!!
 
Back
Top Bottom