Picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana

Hawa jamaa ni wauaji cheki walivomkaba mwenzao,yan washazoea msitu wa pande
 
Hii ndio UVCCM mpya wanayodai italeta matumaini kwa Watanzania? Lakini cha kufurahisha pamoja na mapicha yote haya wala hutasikia kiongozi yoyote wa CCM akikemea zaidi sana sana Mkuu anaweza akaizungumza kidogo mwisho wa mwezi kwani ndio siku anapoongelea matatizo ya Nyumba yake (TANZANIA).
Na ukitaka ujue hichi chama kimezeeka nenda kamuambie Nape kuhusu hao vijana waliopigana atakuambia ni propaganda za CDM..........hiki chama nakipenda sana hasa wakati huu kinapoelekea kufa.
 
Chungeni HIZO KHANGA MZIJINYONGENAZO!!! CCM badala ya kutumia hizo PESA kuwatafutia AJIRA wametengeneza MAKANGA na MAKOFIA
 
...hawana si vijana wa kupewa dora bali ni
umoja wa majambazi na wanyongaji.....duu !! link matukio ya uchaguzi Igunga, Arumeru na daraja mbili utapata majibu...roba, mpaka kusachiana..MTOTO UMLEAVYO...hii ni aibu kwa taifa letu...
 
Waliobeba mabango wameshindwa kuonyesha nyuso zao kwa haya. Hawaamini wanachokisimamia.....
 
Wala hatutamsikia Tendwa akisema kitu kutokana na haya yote, ila ingekuwa ni kutoka chama chochote cha upinzani tungemuona na vifungu vyake vya sheria feki. Halafu huyu mwenye BANGO la maandishi mekundu (pichani) linlomlaani Shigela angelitoa tangu kipindi kile anadanganya umma kutokana na vifo vya raia wema kwenye mikutano ya CDM angalau tungemuelewa.

Shigela.jpg
 
View attachment 69544

Mkuu wangu Tendwa ni kichaka cha matapeli na mafisadi.
 
Mbona wabeba mabango kama wananjaa vile!!! Hawajatumika hawa? Naona kama nyuso zao wameficha!! Wanaogopa Mabwepande nini?
 
ninachowaogopa ccm ni kua kama wanadundana wenyewe kwa wenyewe wakianza kuwekeza mashambulizi cdm si nchi itachafuka....hawa jamaaa hatari..kwenye hizo picha si kuna uvunjifu wa amani polisi walikua wapi
 
halafu baadae mtasema upinzani unaleta vurugu, kumbe wahusika wenyewe ndio mpo kwenye mazoezi, sijui 2015 itakuwaje maana ccm mmeanza kujinoa mapema tena wenyewe kwa wenyewe! Je mtakapokuwa mnashindana na chama mbadala itakuwaje?
 
ninachowaogopa ccm ni kua kama wanadundana wenyewe kwa wenyewe wakianza kuwekeza mashambulizi cdm si nchi itachafuka....hawa jamaaa hatari..kwenye hizo picha si kuna uvunjifu wa amani polisi walikua wapi

dah! hakika tumefikiri pamoja!
 
Acha yauane hayo matoto ya mafisadi maana yameisha ona jinsi baba na mama zao walivyoiba sasa nayo yanataka kwa kila hali. Yote hayo ni mazao ya mafisadi ukiona leo kijana anakwambia yuko CCM jiulize mara mbili amefuata nini huko? Ni ufisadi kwa kwenda mbele haya yanayopigana yanajua matunda ambayo wazee wao wamepata ndiyo maana unaona yanataka kuuana shame on CCM
 
hhhaahhahhaahhhah!! Kweli siasa sio masikhara, naona mkwidano wa hali ya juu aisee. Tendwa yupo wapi haoni hizi fujo huko CCM?
 
Back
Top Bottom