Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 780
[HASHTAG]#2020[/HASHTAG] LissuRais.
Lipumba na Maliyamungu Bashite na Le mutuz $ Jerry muroHabari zimfikie bwana yule na watu wake
Anakutana na viongozi waandamizi wa ulaya lini??
Vipi kamanda unatetema kutaja jina la 'bwana yule' kulikoni ?Kwani post lazima uielewe?
Kihoro ki machoni paoHabari zimfikie bwana yule na watu wake
Kila mtu ana uhuru wa kupost anavyotaka isipokuwa asivunje sheria.Vipi kamanda unatetema kutaja jina la 'bwana yule' kulikoni ?
Makamanda hatupo hivyo bwashee sema tu
Na wamejua hakika kuwa Mungu siyo pombe.....
.....Mkombozi Wetu... hakika Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu
Unachekesha kweli am not CHADEMA.Lakini nasimama kwenye ukweli sina unafiki.Sidhani kama uwezo wa kuendelea kumdanganya mtakuwa nao tena, maana mwenye chama amesema hataki tena siasa za kiharakati bali anataka majadiliano na undugu asiyetaka ahamie TLP!
Ukweli wa kumtanguliza mwenzenu front huku nyie wenyewe mmejificha kwenye vihamba!Unachekesha kweli am not CHADEMA.Lakini nasimama kwenye ukweli sina unafiki.
Kutokujitambua kuwa mmelaaniwa ndio kiini cha tatizo lenu.Tungelaaniwa kama Lissu angekuwa mgonjwa wa Kipindupindu .
Hirizi ziko viunoni mwa bavicha.kuna majitu yanayovaa hirizi yakiona hii habari yanalia aiseee
Anapenda self huyu msaliti...!!!Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika zaidi.
View attachment 679527
Nidhamu kwa nani?!Natamani nimuone akiwa mwenye furaha na afya njema lakini akiwa na nidhamu ya hali ya juu.