Picha: Tundu Lissu akiwa Ubelgiji, ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo, hali yake yazidi kuimarika zaidi

Anakutana na viongozi waandamizi wa ulaya lini??

Mcheki kwenye account yake ataweza kukujibu anaweza kuongea na kuandika, sema alichowazidi wengi ni REASONING CAPACITY yake iko juu sana, na ndio maana walioshidwa kuargue nae kwa hoja wakataka kufanya walililolitaka ila ikashindikana, ukimquote LISSU akisema and I quote"MUNGU WANGU ALIKUWA HAJALALA". End of the quote. Nadhani waovu wake walielekezwa vibaya na SHETANI WAO. PRAY FOR LISSU
 
Vipi kamanda unatetema kutaja jina la 'bwana yule' kulikoni ?

Makamanda hatupo hivyo bwashee sema tu
Kila mtu ana uhuru wa kupost anavyotaka isipokuwa asivunje sheria.

Wenye akili washaelewa kama wewe sio miongoni mwao, pole
 
Sidhani kama uwezo wa kuendelea kumdanganya mtakuwa nao tena, maana mwenye chama amesema hataki tena siasa za kiharakati bali anataka majadiliano na undugu asiyetaka ahamie TLP!
Unachekesha kweli am not CHADEMA.Lakini nasimama kwenye ukweli sina unafiki.
 
Katika ujumbe wake aliotuma pamoja na picha akiwa nchini ubelgiji anakofanya mazoezi ya viungo ili kuweka sawa miguu yake, Tundu lisu amesema anafanya mazoezi ya viungo makubwa ili kuweka viungo vyake sawa huku akisema kwa sasa anaweza kunyanyuka mwenyewe kitandani bila kubebwa

Pray for Lisu
68272b85a4ab8fbe4ca5bd31f374a89b.jpg
 
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika zaidi.

View attachment 679527
Anapenda self huyu msaliti...!!!
 
Back
Top Bottom