Picha: Tundu Lissu akiwa Ubelgiji, ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo, hali yake yazidi kuimarika zaidi

Mungu kwa mara nyingine tena sifa na utukufu ni juu yako. asante kwa afya na uzima wa Tundu Lissu hakika wewe ni mkuu na ukuu wako hautamaliki..... Asante kwa zawadi ya kutuletea Tundu Lissu Duniani najua yuko kwa sababu maalum.. Asante kwa kibali cha kumponya.. Wewe ndiwe Alfa na Omega........ Hakuna kama wewe Bwana ukuu wako unatambulika ulimwenguni kote asante Yesu wewe ndio jana leo na hata milele.


Kila hatua anayoipitia Tundu Lissu ni kwa utukufu wako.. asante kwa yote wewe ndio ujuaye... Baba tunakuomba hata waliojaribu kuyakatisha maisha yake ukapate kuwaonyesha hadharani na sisi watanzania tuweze kuwajua maana wanajivika ngozi ya kondoo inihali wana roho katili za wanyama waumizao. Lakini wewe baba hukuruhusu haya yatokee kwa Watanzania kwa kuwa unalo kusudi muhimu sana kwa Tundu Lissu..

Baba Mungu endelea kumbariki na kumponya. katika jina La Mungu baba mwana na roho mtakatifu AMEN
Amen
 
Bila kumsahau mkeo
tapatalk_1513949327834.jpeg

Asahaulike ili iweje?
 
69 Reactions
Reply
Back
Top Bottom