Picha: Tundu Lissu akiwa Ubelgiji, ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo, hali yake yazidi kuimarika zaidi

Hivi ambaye huwa anampiga picha kila mara huwa anamlazimisha awe anatabasamu? Hiyo Channel anayoitizama hapo inaitwaje? Na hiyo Juice hapo pembeni ya hizi hizi za Azam au ni za huko huko mbele? Hata Mimi kiukweli nimefarijika mno kumuona Tundu Lissu akiwa anaendele kupata ahueni hiyo.
 
kuna jambo linanishangaza...muda wote Lissu anatabasam,au anacheka..

'pamoja na maumivu,na kesi zinazomsubiri,pindi tu akirudi;hana dalili ya woga..'

basi tu kazaliwa bongo..bahati mbaya na...

yupo 'wrong place at the wrong time'
Yupo sahihi. Tabasamu ndo dawa ilinayomfanya apone haraka. Kwa kutokuyaangalia makovu na kuyasahau maumivu na kuwa na matumaini ndivyo vitu vikubwa vinavyomsaidia apone haraka kinyume na kama angekuwa mtu wa kukata tamaa muda wote.
 
Mungu ni mwema. Hapa Lisu anatoa hoja zenye facts kukosoa serikali, kule PolePole anajibu kwa kusema CCM MPYA inaimarika.
 
ukuu wa MUNGU aliye juu,anaeona mbali kuliko wanadamu.MUNGU NI MKUU,MATENDO YAKE NI MAKUU,NJIA ZAKE HAZICHUNGUZIKI
 
FB_IMG_1516354124265.jpg
[HASHTAG]#DewjiBlogNews[/HASHTAG]: Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika zaidi.
 
Back
Top Bottom