Picha: Tundu Lissu akiwa Ubelgiji, ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo, hali yake yazidi kuimarika zaidi

Hivi ubeligiji kuna M- pesa nimrushie hata ya soda, Mungu amjaalie arud kwenye hali yake
 
Saga chupa umeze. Kaskazi ndo nini? Unakanyagwa wewe. Matatizo yako yote, ujinga wako wote umesababishwa na hao unaowachukia? na bado boya wewe. Utakula kwa urefu wa kamba yako mbuzi mee wewe.
Umeshapanic tayari mnywa mbege wewe!........ Hiyo saccos ya chagadema ndio kwishney na uharamia wenu wa kuwachachawangwe wasiotokea migombani?
 
sanid.jpg
 
Huyu dogo asipohama Chadema basi atakuwa na matatizo ya kiakili. Chama chake kilitaka kumuua kwa sababu anaropoka sana na kutishia maisha ya chama kwani Mbowe hataki mwingine atawale zaidi yake.
 
Huyu dogo asipohama Chadema basi atakuwa na matatizo ya kiakili. Chama chake kilitaka kumuua kwa sababu anaropoka sana na kutishia maisha ya chama kwani Mbowe hataki mwingine atawale zaidi yake.
Usishiriki dhambi za watu wengine. Wala usiwasukumie watu wengine dhambi uliyoitenda wewe.
 
lissu utapona tu ndg yetu nafaham sku moja mungu atakuweka saw nafaham pia mungu yu pamoja na ww ugua pole tunakuhitaji mno tumechosha na chama king'ag'aniz hik
 
Back
Top Bottom