Picha: Tundu Lissu akiwa Ubelgiji, ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo, hali yake yazidi kuimarika zaidi

Ccm na yule mtu mkubwa wanakasirika sn kusikia hbr km hii.....
Mungu hadhihakiwi hata cku moja....ndo maana wanaccm karibia wote waliosema lowasa mgonjwa wakafa wao......
Sifa na kiki za kijinga za viongozi wa ccm huku wakiharibu nchi kuua uchumi na kudanganga viwanda ahadi za zaidi ya miaka 50 vitawatokea buani
 
hahahah wewe bila shaka utakuwa na tatizo kichwani yani unatwambia ameweza kutembea mwenyewe halafu papo hapo unasema ametumia magongo......

Kwani ukisema ametembea kwa kusaidiwa na magongo kuna shida gani?
Huwa mkileta habari za Lissu mnaleta na chumvi nyingi.....sasa picha gni hapo inaonesha ana tembea...?

Kikao chake na viongozi wa ulaya ni lini?
Mmemwambia kuwa kamati kuu imewaonya yeye na wenzie kwa kumsema mwenye chama Lowasa?

Ni jambo baya mno kumjadili Mtanzania mwenzetu aliyeumia au kuumizwa au kujeruhiwa na kuhoji kama anatembea au hatembei..masuala ya ugonjwa ni nyeti kwa kila mtu...aliyeleta uzi huu amekosea sana...unakuwepo mjadala usio na maana kabisa kwa suala zima la afya ya mwenzetu....Ni jambo jema pia walio karibu na huyo comrade Lissu wamshauri aache kuingizwa kwenye mijadala ya aina hii
 
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika zaidi.

View attachment 679527
Kashikishwa fimbo tu,tumeni video anadunda
 
Napendekeza baada ya muujiza huu wa uponywaji Lissu aachane kabisa na siasa badala yake aielekee Injili iliyo kweli na hakika, amen!
Acha kujitoa ufahamu. Sasa unataka dini itumike kama enzi za mkoloni?

Kuwa ni dhambi kuipinga serikali kulingana na dini? Kuwa ni bora ukaeneze injili badala ya kuipinga serikali?Ujinga huu. Don’t take it personal, but this is dumb. It will set a bad precedence.

Au hujui dini inaweza kutumika vizuri na pia vibaya kutegemeana na nia?
 
Acha kujitoa ufahamu. Sasa unataka dini itumike kama enzi za mkoloni?

Kuwa ni dhambi kuipinga serikali kulingana na dini? Kuwa ni bora ukaeneze injili badala ya kuipinga serikali?Ujinga huu. Don’t take it personal, but this is dumb. It will set a bad precedence.

Au hujui dini inaweza kutumika vizuri na pia vibaya kutegemeana na nia?
Huko migombani endeleeni na mambo yenu ya kuipinga serikali, lakini mwacheni Lissu apumzike msije mtoa kafara bure!
 
Mungu ni mwema,!shetani kashindwa kabaki ananuna!pole sana Lisu tunakusubiri kwa hamu urudi tujenge nchi.
 
Kwani zile tetesi ataonana na viongozi waandamizi wa ulaya zimeishia wapi??
Mpaka kesi mtakayomfungulia iishe...
Vipi mmeshakamilisha kuiandaa hati ya Mashtaka?? Mkishindwa vipengele fulani vya Sheria mshtakiwa yupo tayari kuwasaidia msihofu...
 
Back
Top Bottom