Kamwambie Msiba anayedhani hata mwizi wa kuku anapelekwa ICC.Icc ni rahisi sana kuitaja nyoe wana ufipa eeh, sio kijiwe cha kahawa kile.
Kamwambie Msiba anayedhani hata mwizi wa kuku anapelekwa ICC.Icc ni rahisi sana kuitaja nyoe wana ufipa eeh, sio kijiwe cha kahawa kile.
HahahahaaaaaAnakutana na viongozi waandamizi wa ulaya lini??
U r a natural born killerAnakutana na viongozi waandamizi wa ulaya lini??
Mpaka John atubu kwanzaNapendekeza baada ya muujiza huu wa uponywaji Lissu aachane kabisa na siasa badala yake aielekee Injili iliyo kweli na hakika, amen!
AmenMungu kwa mara nyingine tena sifa na utukufu ni juu yako. asante kwa afya na uzima wa Tundu Lissu hakika wewe ni mkuu na ukuu wako hautamaliki..... Asante kwa zawadi ya kutuletea Tundu Lissu Duniani najua yuko kwa sababu maalum.. Asante kwa kibali cha kumponya.. Wewe ndiwe Alfa na Omega........ Hakuna kama wewe Bwana ukuu wako unatambulika ulimwenguni kote asante Yesu wewe ndio jana leo na hata milele.
Kila hatua anayoipitia Tundu Lissu ni kwa utukufu wako.. asante kwa yote wewe ndio ujuaye... Baba tunakuomba hata waliojaribu kuyakatisha maisha yake ukapate kuwaonyesha hadharani na sisi watanzania tuweze kuwajua maana wanajivika ngozi ya kondoo inihali wana roho katili za wanyama waumizao. Lakini wewe baba hukuruhusu haya yatokee kwa Watanzania kwa kuwa unalo kusudi muhimu sana kwa Tundu Lissu..
Baba Mungu endelea kumbariki na kumponya. katika jina La Mungu baba mwana na roho mtakatifu AMEN
Bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti.Napendekeza baada ya muujiza huu wa uponywaji Lissu aachane kabisa na siasa badala yake aielekee Injili iliyo kweli na hakika, amen!
Kwa nini??U r a natural born killer
Acheni kutegemea wagonjwa, mtalaaniwa zaidi.Kuna kitu fulani ambacho Mungu amepanga Lissu akifanye nchi hii , tuendelee kusubiri .
Tungelaaniwa kama Lissu angekuwa mgonjwa wa Kipindupindu .Acheni kutegemea wagonjwa, mtalaaniwa zaidi.
hahahaha. Aisee Paul umenichekesha sanaBangi za kujifungia ndani na WINTER hii si nzuri.
pogbaBwana yupi mkuu??