Picha: Tundu Lissu akiwa Ubelgiji, ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo, hali yake yazidi kuimarika zaidi

Muujiza unaimarisha imani kukua.
Napendekeza baada ya muujiza huu wa uponywaji Lissu aachane kabisa na siasa badala yake aielekee Injili iliyo kweli na hakika, amen!
Mungu aliyemuokoa anajua ni nini Lisu anachokifanya na kwa wakati upi atuwezi kumpangia cha kufanya,Mungu anakusudi naye.
 
Muujiza unaimarisha imani kukua.

Mungu aliyemuokoa anajua ni nini Lisu anachokifanya na kwa wakati upi atuwezi kumpangia cha kufanya,Mungu anakusudi naye.
Sidhani kama uwezo wa kuendelea kumdanganya mtakuwa nao tena, maana mwenye chama amesema hataki tena siasa za kiharakati bali anataka majadiliano na undugu asiyetaka ahamie TLP!
 
Ameponywa ili aendelee kutetea watu wa taifa lake, injili inakufaa wewe ukawahubirie wavaa hirizi waache bali wamvae roho mtakatifu.
Nyie mmeshindwa, watanzania wamewakataa mmeanza kutegemea wagonjwa mpate huruma ya wananchi.
Watanzania kama kawa, tunachinja tu, chadema hii ya dj hatuitaki. Tutaendelea kuichinja hadharani mpaka ajielewe kuwa hatuitaki.
 
Ni hatua nzuri sana hii na ni ushindi mkubwa dhidi watu waoga na ambao hawajastaraabika.

Kwa Lissu tunahitaji brain yake tu kuliko kitu kingine chochote kile.

Lissu ni mwanasiasa sio mwanariadha.
Kila mtu anasikitika kwa kitendo alichofanyiwa. Ila binafsi namfananisha Lissu na mtu anayekifukuza kivuli chake. Ukweli utajulikana atakaporejea nchini. Tunaomba arejee akiwa mzima wa afya.

Kwa sasa atumie muda wake kurejesha afya yake katika hali nzuri ili isije siku akisingizia ugonjwa kwa matamshi na matendo yake.
 
hahahah wewe bila shaka utakuwa na tatizo kichwani yani unatwambia ameweza kutembea mwenyewe halafu papo hapo unasema ametumia magongo......

Kwani ukisema ametembea kwa kusaidiwa na magongo kuna shida gani?
Huwa mkileta habari za Lissu mnaleta na chumvi nyingi.....sasa picha gni hapo inaonesha ana tembea...?

Kikao chake na viongozi wa ulaya ni lini?
Mmemwambia kuwa kamati kuu imewaonya yeye na wenzie kwa kumsema mwenye chama Lowasa?
Mkuu nikuulize ....we ulitaka usikie hatatembea tena? Siasa zisikutoe utu wako. Leo kapigwa risasi Lisu kwasababu mpinzani ukiisha upinzani unadhani what will be next? Tuwe na mioyo ya utu tusisahau kuna maisha baada ya hapa
 
Naona serikali na nguvu zake zote imeshindwa kumzuia MUNGU KUMPONYA TUNDU LISU. ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI
Serikali haina uwezo wa kumzuia Mungu kumponya Lisu lkn pia serikali bado ina nguvu kuliko huyo Lisu, mshauri asitumia lugha mbaya au kali kupinga serikali
 
Umetumia neno atakutana, meaning kwamba ni wakati ujao. Yaweza kuwa mwezi ujao. Hivyo hung on for now, if you like.
Kwani nimesema amekutana nao lini?? Nimesema atakutana nao lini.
Somo la lugha nilifaulu ngazi zote with flying colors.
 
hahahah wewe bila shaka utakuwa na tatizo kichwani yani unatwambia ameweza kutembea mwenyewe halafu papo hapo unasema ametumia magongo......

Kwani ukisema ametembea kwa kusaidiwa na magongo kuna shida gani?
Huwa mkileta habari za Lissu mnaleta na chumvi nyingi.....sasa picha gni hapo inaonesha ana tembea...?

Kikao chake na viongozi wa ulaya ni lini?
Mmemwambia kuwa kamati kuu imewaonya yeye na wenzie kwa kumsema mwenye chama Lowasa?
Ivi kwanini hamumpendi lisu ccm?
 
Hayo matango pori unayolisha utavimbiwa muda siyo mrefu ....!
 
69 Reactions
Reply
Back
Top Bottom