may b jangili
Huenda ana kampuni ya ulinzi huyo.Duh risasi hizo mmmh
Mkuu, kisheria mtu mzima mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea anaruhusiwa kumiliki silaha mbili, yaani moja kubwa eg gobore, Rifle isipokuwa zile za kivita na ndogo kama pisto kwa lengo la kujilinda. Wanaoruhusiwa kumiliki zaidi ya hapo ni wenye makampuni ya uwindaji, makampuni ya ulinzi and likewise. Nahisi hizo atakuwa anazimiliki kihalali. Sema kama ni kwa ajili ya kujilinda tu risasi nyingi hivyo kwani anajilinda kwa kutumia kombania?Kama anamiliki kihalali sidhani kama ni shida na kama riasi alipata kihalali pia sio tatizo. Mimi sijawahi ona polisi wakiwa sana strict mtu anapokwenda kuomba kibali cha kununua risasi zaidi ya kumweleza aonyeshe licence ya kumiliki Silaha.
Kwa wenzetu wa upande huo, mmmmhhh, huwezi kuwa na jibu moja, yote yanawezekanahuyu jamaa yuko framed au ni mtu hatari ivi???
sifongo, hao wenye madem lukuki, magari kibao nk wamekiuka sheria ipi? Umiliki wa silaha una masharti yake. Ngoja tusubiri uchunguzi kama ulivyosemaJmani pengine tusimlaumu sana labda ndicho anachopenda, nina maana wengine wanapenda kumiliki magari hata awe nayo mangapi akiona lingine limemvutia ananunua, wengine mademu hata kama kaoa atahakikisha hapitwi na wapembeni, wengine simu, tablet, computer nk......sasa labda mwenzetu anapenda bunduki na risasi, pengine akiziona tu anaburudika nafsi......ila ngoja tusubiri uchunguzi maana hata yule jamaa mwingine alikutwa na bunduki Morogoro sasa kapewa unaibu huko kwenye fedha.
Kweli mkuu, maana znz imetajwatajwa kwenye mapito ya vifaa vya ndovuufanywe uchunguzi wa kina km silaha hiyo imehusika kwny vitendo vya ujambazi na pia ujangili
Beleshi la dhahabu la mkapa lipo wapi?mrema alikamata dhahabu uwanja wa ndege zilikua za vigogo zipo wapi?silaha za kivita alizokua nazo Adam Malima zipo wapi?
tatizo ni kama anamiliki bila kuwa na kibali vinginevyo hizo ni silaha za kiraia kabisa,mfano hiyo shortgun ni bunduki inayo replace gobore,haina mpango wowote bora ushike machete,lakini Adam Malima alikutwa na sub machine gun lakini hadi leo vyombo uya usalama vimefumba macho,
ONLY IN BONGO LAND.
Silaha sioni shida kukutwa nazo, sasa hizo risasi nyingi hivyo anakuwa nazo kwa kazi gani hasa??
Majambazi mnajuana ndiyo maana mnahurumiana na kukingiana vifua sana.Ni mipango ya ccm tu, mbona hawakumtilia shaka hapo kabla alipokuwa waziri na mwakilishi? ni chuki za ccm tu, mbona hawajaenda kumpiga search balozi seif ali iddi? Steven wassira? Mohd Abud nk?
Ni njama za ccm kujaribu kutaka kumdhoofisha lakini Wazanzibari tumemkubali 2015 mbele kwa mbele, ccm inayumba sasa njia zote zimekwisha bado tunao usiku na mchana.
Hakuna lazima yupo kwenye lile kundi la kuuwa watu wapime vizuri silaha zake lazima zitakuwa zimehusika kwenye kuulia watu zanzibar huyo ni gaidi.Huenda ana kampuni ya ulinzi huyo.
sifongo, hao wenye madem lukuki, magari kibao nk wamekiuka sheria ipi? Umiliki wa silaha una masharti yake. Ngoja tusubiri uchunguzi kama ulivyosema