kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Nyie chekeni na magaidi tu, mtauona moto wao na upumbavu wenu wa kuchanganya siasa na uamsho utakwisha ghafla, boko haram wakubwa!
Umenikumbusha na Adam Malima kwani na yeye ni muislam inawezekana ni kiongozi upande wa Bara kwani aliwahi kukutwa na SMG + magazine 2 guest pale Morogolo pamoja na Bastora na Risasi zake lakini cha ajabu alitetewa na Polisi na hakuchukuliwa hatua yeyote