PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

3.jpg


na huyu alikutwa na silaha ngapi?


hilo ni gamba hata likiua haliguswi kidumu chama cha majambazi sorry cha mpunguzi dodoma kwetu
 
mbona malokola majogo anamiliki AK47 na wanajuwa awamkamati je hizo bunduki imebainika imewai kutumika katika matukio gani ya uhalifu huo ni upuhuzi
 
Nyie mmekosa kazi. Pistol na shotgun kwa Mtu aliyewahi kuwa waziri. Jamani mnatuharibia nchi. Please.
 
Ni mipango ya ccm tu, mbona hawakumtilia shaka hapo kabla alipokuwa waziri na mwakilishi? ni chuki za ccm tu, mbona hawajaenda kumpiga search balozi seif ali iddi? Steven wassira? Mohd Abud nk?

Ni njama za ccm kujaribu kutaka kumdhoofisha lakini Wazanzibari tumemkubali 2015 mbele kwa mbele, ccm inayumba sasa njia zote zimekwisha bado tunao usiku na mchana.

Kwani huyu jamaa ni mumeo!? Mbona una haha kumtetea?
 
Ni mipango ya ccm tu, mbona hawakumtilia shaka hapo kabla alipokuwa waziri na mwakilishi? ni chuki za ccm tu, mbona hawajaenda kumpiga search balozi seif ali iddi? Steven wassira? Mohd Abud nk?

Ni njama za ccm kujaribu kutaka kumdhoofisha lakini Wazanzibari tumemkubali 2015 mbele kwa mbele, ccm inayumba sasa njia zote zimekwisha bado tunao usiku na mchana.

CCM walimpa hizo silaha au hujaziona hapo kwenye picha? Kwahiyo kuyumba kwa CCM ndo kunamfanya amiriki silaha? Kati ya CCM na yeye nani ameyumba? CCM wanamdhoofisha kivipi wakati kila kitu kiko wazi kwamba kakamatwa na silaha.
 
Swali la kizushi tu mwanafyale; Tatizo unaloliona ni kuwa na silaha au risasi. Kwani zilikuwa risasi za silaha tofauti na alizo nazo au? Kuna kitu mwanafyale kinaitwa kulenga shabaha. Mtu unatoka na bunduki yako unaenda porini au hata nyuma ya nyumba yako, kama umesha waambia majirani kwamba unalenga shabaha. Unaenda kupiga risasi zako za shabaha hata hamsini hivi kwa siku. Kule JKT tulipewa risasi 30 siku moja tukaenda kulenga shabaha. Sasa weye waona hizo ni nyingi kakutwa nazo?? Akitumia 30 kwa siku atatumia kwa siku ngapi??? Tuelezwe kama aliziiba au aliuziwa kimagendo lakini kama ana risiti zake, shida iko wapi??
Kama walimkuta na silaha ambayo haimiliki kihalali hapo ni kosa. Msimtafutie mtu kosa jamani. Mwacheni awe ametenda kosa. Kama hajawahi kutishia mtu, hajawahi kuvamia kituo cha petroli kuiba sasa kukutwa tu na risasi za silaha alizonazo kihalali ndiyo iwe issue??
Msimchukie mtu hivyo ati si mwenzetu. Mnamtisha ili arudie matapishi??

Acha ujinga huwezi kujifunza kulenga shabaha wakati teyari unamiliki silaha...!!! Unajifunza kulenga shabaha kwenye maeneo ya mafunzo siyo nyumbani kwako...!!!
 
Zile za Kigoma malima CCM name serial I yenu mlifanya nn, huyu ndo mnatutangazia baada ya kuwamwaga, CD tunajua ccm wrote mna siraha za kivita ndani

We kibaka Malima hakukutwa na risasi mia na hamsini...!!
 
3.jpg


Na huyu alikutwa na silaha ngapi?



Hiyo bastola haiwezi chukua zaidi ya risas 20 kwa wakati mmoja..na hapo alipo hawezi kuwa alibeba magazin yenye risas zaid ya 50 hiyo ndo tofauti ya rage na huyo gaidi wa znbr...
 
CCM walimpa hizo silaha au hujaziona hapo kwenye picha? Kwahiyo kuyumba kwa CCM ndo kunamfanya amiriki silaha? Kati ya CCM na yeye nani ameyumba? CCM wanamdhoofisha kivipi wakati kila kitu kiko wazi kwamba kakamatwa na silaha.

Wenye akili watakuelewa mkuu...!!
 
Sioni kosa lolote kwa jamaa,zaidi tu nimpongeze kwa kujilinda dhidi ya ma c.c.m.
 
Mansoor himid,aliyewahi kuwa mwakilishi na wakati flani waziri asiyekua na wizara maalum na pia ni shemeji wa rais karume,
Akutwa na silaha hizi

attachment.php
attachment.php

Nikajua zile za Malima Morogoro. Kumbe kila ukiwa Waziri unamiliki jeshi.? Only in Tanzania
 
Hiyo bastola haiwezi chukua zaidi ya risas 20 kwa wakati mmoja..na hapo alipo hawezi kuwa alibeba magazin yenye risas zaid ya 50 hiyo ndo tofauti ya rage na huyo gaidi wa znbr...

Waeleweshe hao watu wa UKAWA...Na tofauti nyingine nikwamba silaha aliyokutwa nayo huyo jamaa ndizo zinazotumika kuulia tembo wetu na hiyo hako ka pistol ka RAGE ni kakumlinda yeye na mke wake....Mpo hapo WANAUKAWA????????
 
Ingwa Inaweza kuwa kweli au uongo, hii selekali ya akina "Lukuvi" siiamini kabisa,
 
Nyie chekeni na magaidi tu, mtauona moto wao na upumbavu wenu wa kuchanganya siasa na uamsho utakwisha ghafla, boko haram wakubwa!

Nafikiri haujajua tatizo linaanzia wapi, sio kila kitu unaleta siasa na chuki zisizo na tija. Ni vizuri comment as a great thinker ili wadau wafaidike na ndio "MOTO" ya JF au kaa kimya sikiliza wajuzi.
Anyway turudi kwenye mada, Mr Mansoor anaruhusiwa kisheria kumiliki silaha za aina hiyo na pia anaruhusiwa kumiliki idadi ya risasi alizokutwa nazo ikiwa tu anamaelezo yanayo jitosheleza na nyaraka zinazoonyesha amepata risasi hizo kihalali. Ndio ipo sheria inayo limit kiasi cha risasi anachoruhusiwa raia lakini kinaweza kuongezeka kama kuna maelezo ya ziada kutoka kwa mhusika kwa mfano ukienda shooting training utahitaji risasi nyingi au kuna watu wanakwenda hunting for two weeks unafikiri atakwenda na risasi ngapi?
risasi zipo aina nyingi ukiangalia kwenye picha ya hizo risasi alizokamatwa nazo utaona zipo za bastola 9mm ambazo rangi yake tofauti na nyingine ina maana kuna hard na soft sasa je sheria ina specify kiwango cha risasi kwa ujumla au kwa kila aina? shortgun hali kadhalika zipo SG,LG,BB,SLUG etc...
Tatizo lingine kubwa ni Zanzibar hairuhusu raia kumiliki silaha lakini kibali unachopewa ni cha serikali ya jamhuri ya muungano na Zanzibar ikiwa part ya jamhuri, wizara ya mambo ya ndani ni moja ndio maana Vuai Nahodha alikuwepo pale, sasa usisahau mtu hapewi kibali mpaka apitie hatua kadhaa za kiuchunguzi!! unataka kuniambia wizara ilishindwa kugundua kwamba Mansoor ni mzanzibari na Zanzibar hairuhusu raia wake kumiliki silaha?? labda bwana Mansoor alipewa silaha akiwa kama mkazi wa bara lakini bado kibali ni cha Jamhuri ya muungano wa Tanzania Zanzibar ikiwemo ndani ya jamhuri hiyo!! usisahau moja ya sheria za kumiliki silaha ni lazima uwe nayo sehemu unayoishi huwezi kuiacha mji mwingine na wewe unaishi mji mwingine otherwise you have to surrender to police.
Hitimisho langu kuna mkinzano mkubwa wa kisheria, police hawapo tayari kumkamata mtu kwa kesi ya aina hii kwa sababu sheria haipo sawa. Kumkamata Mansoor kutaibua madudu mengi kuhusu udhaifu wa wizara na itakua aibu kwao,
Walitaka kumkomoa lakini am sure it will backfire Haaa Haaaa Haaaa.
 
  • Thanks
Reactions: prs
Baada ya polisi kupata taarifa kutoka kwa "wasamaria wema" kuwa Mansoor anamiliki bunduki nilidhani jambo la kwanza ilikuwa ni kupitia rekodi za wamilki bunduki na kuhakikisha kuwa Mansoor anaruhusiwa au aruhusiwi kumiliki bunduki. Kitendo cha polisi kuvamia nyumbani kwa Mansoor na kikosi cha FFU ni uonevu mtupu.
 
Back
Top Bottom