PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

raiya haruhusiwi kumiliki siraha ya moto zanzibar?!!!una uhakika na hili mkuu?

NNi kweli mkuu hata mie nilisikia kamishina wa jeshi la polisi wa Zanzibar akisema hivyo kama nilivyochangia hapo chini

Mpaka sasa tumepata case study ya kuhusu masuala ya katiba na sheria za nchi ambayo ni JMT kwani walisema upelelezi bado unaendelea na mwisho wa siku ukikamilika wataona kama ashitakiwe Bara kwa sheria za JMT au Zanzibar kwa kuwa sheria za Zanzibar haziruhusu raia kumilki silaha.

Ndio maana nimeandika "wenyewe wanasema" mi sijui, tusubiri hukumu tutajua ukweli
 
Back
Top Bottom